chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    Ushindi 99% tulopata kwa local government ilitupasa kumwambia CHADEMA chagueni tume awe nani Kisha tuingie dimbani tungeshinda asubuhi

    Sijui huu uoga ni wa nini Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
  2. M

    CHADEMA imekosea kujitoa mazungumzo na CCM. Tujifunze hapa

    Chadema imefanya kosa kubwa kujitoa ktk mazungumzo na ccm. Ccm ndio yenye dola. Tujifunze hapa kwa waislam walipokuwa hawana nguvu walifunga mkataba na wasiokuwa na waislam baada ya mazungumzo marefu. Mkataba Mkataba wa Hudaybiyyah ulikuwa ni makubaliano ya amani yaliyofanyika kati ya Mtume...
  3. figganigga

    Kumbukizi: Anna Tibaijuka anasema kupata Katiba Mpya katika Mazingira ya Amani - “Mtasubiri sana”

    Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT. Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat. Anakuambia si rahisi kupata...
  4. Superbug

    Rais Samia ifumbue kitendawili hiki cha watu kutekwa

    Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi...
  5. M

    Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  6. M

    CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

    Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious...
  7. Lady Whistledown

    CHADEMA: Ukimya wa Rais dhidi ya vitendo vya ukandamizaji unaoendelea ni wa kutia wasiwasi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani kwa nguvu zote tukio la kushambuliwa, kupigwa na kukamatwa kwa mwanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na mwanachama wetu, Mdude Nyagali, usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025, nyumbani kwake mkoani Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 CHADEMA Njombe walalamikia hali ya siasa nchini, yasikitishwa na matukio ya ukamataji na kuteswa kwa makada na viongozi wa chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa CHADEMA ni chama kilichosajiliwa kwa mujibu wa katiba na hivyo kina haki zote za kikatiba kufanya...
  9. funaku

    Tujikumbushe slogan mbalimbali za chadema na hatima zake

    1-People's power 2-Mabadilikoooo 3-M4C.. 4-TONE TONE 5-NO REFORM NO ERECTION
  10. funaku

    CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina Ushauri: Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
  11. funaku

    Sijawasikia Chadema kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi Leo hii Mei Mosi 2025

    Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo. Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili. Rais Samia na CCM yake...
  12. S

    Kwa jinsi Polisi wasivyoaminika, sintashangaa wakitangaza waliomshambulia Dr. Kitima walitumwa na Chadema ili kuichafua serikali

    Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi. Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
  13. J

    Kwa mmkakati huu Chadema mmewakamata na kuwafikia wengi

    Jana nimepanda coaster inayotoka Airport kuelekea Buhongwa jijiji Mwanza, ambapo niliona ubunifu wa CDM kuwafikia watu wengi hasa katika hii Kampeni ya NRE. Nilivyoingia nilikuta ukimya, huku sauti ya John Heche ikisikika vyema. Awali nilifikiri ni msafiri anacheza clip kutoka kwenye simu...
  14. Q

    Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

    Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima. Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
  15. Sumbaye

    Kuhusu sakata la G55 CHADEMA, Mbowe anahusika kwa asilimia 100

    Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Video: Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni alikamatwa Nje ya Mahakama na Kuachwa Temeke

    Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  17. Influenza

    PreGE2025 John Mrema: Barua inayosambaa ya kuvuliwa Uanachama wa CHADEMA, hainihusu kwani haijataja namba ya Uanachama wangu

    TAARIFA KWA UMMA. YAHUSU TAARIFA INAYOSAMBAZWA MTANDAONI KUWA MIMI JOHN EDWARD MREMA NIMEVULIWA UANACHAMA WA CHADEMA NA TAWI LA BONYOKWA. Kutokana na taarifa hizo kuzua taharuki kubwa na kusababisha watu mbalimbali kupiga simu, napenda kutoa ufafanuzi ufuatao; 1. Mimi John Mrema ambaye ni...
  18. Mindyou

    PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama. Kwa mujibu wa barua rasmi...
  19. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Lupembe asema CHADEMA wanavuka mipaka kwenda kuvuruga haki za wengine kupiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania. Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya...
  20. Just Pray

    PreGE2025 John Mnyika: Hoja ya kutakiwa kufanyika mbadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA ni hoja ya umma

    "Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa...
Back
Top Bottom