chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kwanini Vijana wa CHADEMA wana Uwezo Mdogo Sanaaaa wa Kujenga Hoja Na Kuonekana Wengi hawana adabu?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujumbe kutoka kwa Tundu Lissu: Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM, anafanya kazi ya CCM

    "Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hizi spana za CHADEMA; ni karma au ni hujuma?

    Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe vyote vilitokea tu spontaneously na vimekuwa vikibadilikabadilika kuwa vilivyosasa. Huu upuuzi...
  5. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla roho yake ipo CHADEMA mwili upo CCM

    Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema. Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM: Hatuhusiki na Msiba wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi changamoto ni CHADEMA au Tundu Lissu? Wananchi wajue

    Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake? Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu CHADEMA ni taasisi inayoishi—Lissu atakuwemo na kutoka; pengine ataenda DP, au ataacha siasa, au...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

    Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke? Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga. Chadema nao wanajitahidi. Hii vita bado mbichi.
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kutuliza mzimu wa migawanyiko napendekeza makao makuu ya CHADEMA taifa yahamishiwe Zanzibar

    Hii italeta utulivu na usawa ndani ya chadema na kuondoa dhana ya chuki, dhihaka na ubaguzi dhidi ya viongozi wa kutoka Zanzibar na dhana ya kuitenga Zanzibar katika masuala mbalalimbali ikiwa ni pamoja na masuala ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho. Zaidi sana, makao makuu ya chadema kua...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: CCM haihusiki kuzuiliwa kwa CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa, ni migogoro ndani ya chama chao

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  12. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ni dhahili ruzuku itaendelea kusitishwa kwani walioenguliwa kusimamia fedha hizo wamejikamunisha wenyewe badala ya kukamunishwa na baraza kuu la chama

    Msajili wa vyama vya siasa alisitisha ruzuku ya serikali ya Sh 107 million kwa mwezi kwa chama cha chadema. Alifanya hivyo kwa sababu wasimamizi wa fedha hozo (secretariat) akiwemo Afisa Masululi (Accounting Officer) wa chama ambaye ni Katibu Mkuu wa chama walipata nafasi hizo kwa njia zisizo...
  13. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

    Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa. Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa wanawapinga CHADEMA kwa kitu gani haswa? Kwa sababu hoja nyingi zinazowasilishwa na watu wa CHADEMA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chadema huenda wakapoteza umiliki wa majengo yake,kama ilivyokua CUF

    Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Great thinkers jitokezeni tujadili lengo la kesi ya mgao wa mali dhidi ya CHADEMA. Waliofungua kesi watanufaika na nini ikiwa siyo viongozi?

    Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa. 1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida. 2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uhakika wa serikali iliyopo madarakani kurejeshwa tena madarakani na wananchi Oktoba ni asilimia 100%

    Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao kupitia uchaguzi mkuu wa october 2025. Wengi wa vijana hao wana matarajio makubwa ya kutimiza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe mateso/maonevu /suluba anazozipitia Chadema na wanachama/wapenzi wake

    Kwa kipindi kifupi chini ya mwezi angalia mateso inayopitia Chadema. 1. Tundu Lissu akapewa kesi ya uhaini 2. Chama cha ubwabwa kikapewa uhai 3. Kuongeza nguvu kupambana na CDM 4. Msajili akazuia ruzuku ya CDM 5. Msajili hamtambui MNYIKA na wenzake 6. Viongozi kitaifa wamezuiwa kusafiri...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda kampeni ya kidigitali ya CHADEMA kuchangia pesa kwa mtindo wa tone tone ya imesitishwa au imesimama

    Kwasababu hakuna updates tena kama ilivyoarifiwa mapema na wahamasishaji wakati inaanza, kwamba walau kila baada ya wiki moja kutatolewa mrejesho wa maendeleo ya uchangiaji unavyokwenda. Wadau wangependa kufahamu, tangu itangazwe kupatikana milion64, na kuibuka changamoto ya eti fedha zilikua...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  20. City Thunder OKC

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

    Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye...
Back
Top Bottom