chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Jackson Karao: CHADEMA mnayoyapitia tunayaona. Tanzania tunahitaji siasa za vyama vingi kwa vitendo

    Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA inazidi kuimarika pamoja na mizengwe ya watawala hawa ?

    Huu ndio ukweli kuwa Lissu ameikomaza CHADEMA Kila kona wanapigiwa chapuo kuwa sasa wapo kwa maslahi ya mtanganyika Wanaumgwa mkono tena kwa kila msimamo wao. Kumbe wapo sahihi hata kususia uchaguzi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kwa sasa katiba ya CCM inasomwa, kuchambuliwa na kutetewa zaidi na chadema kuliko CCM?!!!

    Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kada wa CHADEMA auawa kikatili na wasiojulikana

    Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Bananga: Msipige kelele, tulijisaidia kichakani tukiijenga CHADEMA

    Wanaopiga kelele sasa hivi kwasababu kuna nyomi, wajue kuwa sisi tulianza mbali sana na CHADEMA. Yaani tunaenda kujisaidia kichakani wakati tunazunguka kutafuta kura..” - Mbunge wa zamani wa Viti Maalum Hawa Bananga akifunguka kupitia One on One
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Bananga: Nimerudi CCM kufanya kazi sio kisa nimefukuzwa CHADEMA

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV. Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi. Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

    Wakuu, Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba https://www.youtube.com/watch?v=caUT4k_qHjs
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema walipigania kumpata mgombea "weak" wa CCM ili wamsumbue kwenye kampeni

    Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni. Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu. CCM isingempitisha Rais...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wakili mzungu hawezi kutetea demokrasia inayoliliwa na CHADEMA

    Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani. Wakoloni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni woga, ujinga au kurogwa?, Watanzania mbona mpo kimya kwa haya yanayowatokea CHADEMA?

    1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya. 2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya. 3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya. 4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kusubiri CCM wakubali kutoa Reforms ili Uchaguzi ufanyike ni kupoteza muda

    Katika mambo ambayo CCM wamefaulu ni kujipenyeza na kuweka mizizi kwenye kila ofisi ya umma. Ofisi zote za umma CCM wameziweka kwapani. That's why Gwajima alisema CCM iwape CHADEMA reforms na si INEC yenye mamlaka. Kwahiyo reforms zikitoka ni zile structured kutoka ofisi ya CCM ambazo ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ishakufa kwa sasa

    Nadhani chadema ishakufa kisiasa 1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini 2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili 3. Kufungiwa account zake za kifedha 4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana. Kilichobaki nini...
  13. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Chadema wapo kwenye no reform no election

    https://www.facebook.com/share/r/16o6d5w3Gq/ Chadema wangeshinda ingekuwa sawa ila hawashindagi
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama wanaibiana wao kwa wao kura za ndani CHADEMA ya Lissu ingenusilika?

    Kwanza kabisa walikiuka katiba maana mgombea wa urais amehudumu vipindi viwili vilivyowekwa kwa mujibu wa katiba. Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur Taifa hili linahitaji katiba mpya ili kudhibiti huu uozo. Naamanisha wizi wa kura
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa CHADEMA waende Kenya kusikiliza kesi ya Boniface Mwangi ili kulipa fadhila

    Wakati Tanzania ilipomfukuza Boniface Mwangi mwezi Mei 2025, watu wengi walikimbilia kuikosoa, wakiita hatua hiyo ya kidikteta. Lakini sasa, Serikali ya Kenya kupitia taarifa za raia wema imemkamata kwa tuhuma nzito za kusaidia vitendo vya kigaidi wakati wa maandamano ya Juni 25 na ushahidi...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA. Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kubalini yaishe kutunishiana misuli na serikali mtaumia nyie, Shauri yenu

    Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani. Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ushauri: Heche afanye kama Mbowe, aikopeshe Chadema milioni 300 ili ilipe mishahara ya miezi mitano iliyopita

    Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho. Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama. Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa CHADEMA: Barua ya Naibu Msajili kuhusu zuio la Kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA imejaa upotofu na kupotosha amri ya Mahakama

    Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawakili wa CHADEMA wajibu mapigo Mahakama kuzuia shughuli za Chama, Wadai Msajili hana mamlaka ya kutafsiri hukumu au amri ya Jaji

    Mawakili wa CHADEMA wanaijibu Mahakama kuhusu zuio la viongozi wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za CHADEMA. https://www.youtube.com/watch?v=CWE21IAhJ9A Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya...
Back
Top Bottom