chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA inapambania Mfumo mpya wa UCHAGUZI ambao Vijana wenye Akili na Wazalendo, watashinda na kutangazwa hata kama hawana PESA

    Kwa hali ilivyo, Vijana Wasomi ,Wazalendo, Wenye Maono na Uthubutu, ni ngumu sana kwao kua Viongozi kupitia Sanduku la Kura !!. Ndio sababu unaona Hata hao viti Maalum wanasuguliwa sana Mbunye, yaan ili ateuliwe viti maalumu analazimika Kuchanua mapaja. Kijana wa Kitanzania Masikini, ni ngumu...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi amesema CHADEMA inazidi kusambaratika na kufa

  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kiburi na uropokaji tu, CHADEMA imeteketea ghafla kwenye medani ya siasa za Tanzania, kama inavyoteketea Iran huko mashariki ya Kati

    Hulka za viburi na ujeuri za viongozi wakuu wa chadema, mathalan Lisu na heche, vinalandana na kushabihiana kabisaa na ukaidi usio na faida wa viongozi kama vile Zelensky na Hayatollah Khemenei ambao kwa kauli za vinywa vyao tu, wanayaangamiza mataifa yao mchana kweupe, huku ulimwengu mzima...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: CHADEMA siyo gereza wala kaburi nikiingia naweza kuamua kutoka

    Wakili madeleka amefunguka sababu ya yeye kutoka Chadema, ikiwa ni baada ya kuhama na kuwa mwanachama wa ACT Wazalendo
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
  7. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa aliyesema rais amechanganyiwa na kuhamasisha tuwavamie polisi angekuwa CHADEMA asingekuwa amekamatwa?

    Amesikika akisema rais amechanganyikiwa kwa kusema Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani Pia akaongeza kuwa amefanya utafiti kuwa idadi ya askari wa jeshi la polisi ni laki moja hivyo Watanzania mil 65 tukilianzisha tunawamudu. Je, angekuwa ni kada wa CHADEMA angesalimika?
  9. Trubetzkoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema, anzisheni shule ya katiba na sheria kwenye mitandao ya kijamii

    Salama humu ndani? Ushauri wa bure kwa ndugu zangu wa people's power. Ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa mambo yanayokwamisha vuguvugu na harakati za kupigania mageuzi nchini ni kwamba watanzania walio wengi hawajitambui na hata wale wachache wanaojitambua bado hawatambui haki na wajibu...
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu

    Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata. Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Uroho wa Madaraka walionao CCM Siku wakifurushwa wanaweza kuunda kikundi cha Uasi, Nimejifunza Uchaguzi wa Chadema

    Nimekaa Nimetafakari namna gani mwanadamu anaweza akalewa madaraka mpaka kumpelekea kuwa teja au mraibu wa madaraka, Mtu yeyote mwenye uraibu wa kitu fulani basi huwa yupo tayari kufanya kitu chochote ili aweze kupata tiba ya uraibu, na mfano ni pale teja anapokosa madawa ya kulevya wakati...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Polisi Tanzania: Kwanini waathirika wa Utekaji, mauaji, kupotezwa wengi by 99% ni wanachama wa CHADEMA?

    Jana mmetoa tarifa ya sababu ya watu kupotea , kutekwa, kufa na mengineyo kama hayo. Swali kuu: Kwanini wanaopatwa a sanabu mlizozitoa wengi wao, naweza kusema 99% ni wafuasi/wanachama/wapenzi wa chadema ambay pia serikali IMEIKLIA KOONI? Angalia kupotea kwa watu hawa 1. Ben Saanane 2. Mdud 3...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Andrea Lemnge Oisso ajiondoa CHADEMA, alaani msimamo wa kususia uchaguzi

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CHADEMA na Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Rombo, Andrea Lemnge Oisso, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho akilaani msimamo wa kususia uchaguzi kwa hoja kwamba “historia haijawahi kumbeba anayekimbia mapambano”. Akizungumza kupitia tamko...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Enyi CCM, kinachodaiwa na CHADEMA na ninyi kinawahusu. Wanachofanyiwa akina Mpina na Gwajima ni kwasabb ya ubovu wa katiba

    1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga. 2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

    CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
  16. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Walianza CHADEMA, zikaja nchi jirani halafu kanisa sasa huenda ni zamu ya wasukuma mwisho kabisa ni wanaCCM

    Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas. Tuendelee kunywa mtori.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Shughuli ziendelee bila kutumia rasilimali za chama

    CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Luhaga Mpina hamia CHADEMA ubunge wa jimbo sio ishu kubwa kuliko kupambania maslahi ya taifa letu

    Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea. Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa imeonekana unatafuta umaarufu. Hamia CHADEMA ungana na Lissu na Heche kudai maslahi ya Watanzania.
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama Mahakama imesitisha shughuli za CHADEMA mpaka kesi iishe, hao wanaoingia ofisi za makao makuu CHADEMA kufanya kazi wanavunja sheria

    Hiyo ndio tafsiri yangu, kwamba kusimamisha shughuli za chama, inagusa hata hao maofisa wa makao makuu. Nashauri jengo hilo lifungwe
  20. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuomba mapitio ya uamuzi wa Jaji Mwanga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya shauri hilo, huku pia kikiomba jaji huyo ajitoe kwani hawana imani naye. Katika uamuzi huo...
Back
Top Bottom