chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Kuendelea Kesho Mahakama Kuu Dar es Salaam

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kwamba kesho, Jumatatu tarehe 29 Septemba 2025, shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake 2 dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu itaendelea Mahakama Kuu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM ikiondolewa, Mahakama na watekaji dhidi ya CHADEMA, itaambulia 16% tu ya kura zote kwa uchaguzi wowote ule!

    Sina mengi ya kuandika! CCM ipo kwa sababu Police, Mahakama na watekaji wako nyuma ya CCM Bila ya hao, hakuna kitu inaitwa CCM nchini hadi hivi sasa napoandika
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Ukiibia hii Nchi Huwakomoi CHADEMA au LISSU au HECHE, Unakomoa Vizazi na Vizazi vya Tanzania,na Bado itabaki usaliti hata ukichangia ujenzi wa Kanisa

    Ufisadi ambao ulikuwepo tukaufumbia macho umekuwa na umekuwa kwa kiasi kikubwa sana mpaka mamlaka ambazo unategemea zitakuwa mbele kukemea na kuchukua maamuzi sahihi juu ya haya mambo zinakaa kimya, hivyo hakuna namna zaidi ya sisi wananchi wenyewe kusimamia hili jambo mpaka tufikie mwisho wake...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pengo la CHADEMA linazidi kukua kwa kasi, CCM kwa sasa inashindana na Wananchi, na wakiendelea kuwa viziwi raia wataingia barabarani kweli

    Toka lini kwenye uchaguzi SERA zikamithilishwa na AMANI? Siku zote shilingi lazima iwe na pande mbili. Na demokrasia ni shilingi yanye pande 2. Kamwe haitakaa nchi ya kidemokrasia watu wote wakawa na muono unaofanana. Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia, hata kuwe na vyama vingi vipi, lazima...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Pamoja na kumpoteza Nyalusi, CHADEMA itaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa licha ya changamoto mbalimbali zinaoendelea nchini . Kauli hiyo ameitoa wakati akishiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
  7. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa hii imetolewa na CHADEMA ikisisitiza Amani na utulivu nchini

    Naona kama CHADEMA wameenza kutusaliti Gen Z Yaani watu tunajua tupo pamoja Oktoba 29, 2025 kupambania G Wagon na Royce alafu wanaleta tena siasa za CCM Wakuu ebu iangalieni hii kabla sijachanganya mambo
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Dkt. Slaa amethibitisha kuwa CHADEMA Haikufanya uchaguzi huru na wa haki

  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Glory Tausi: G55 tulitoa mawazo mazuri CHADEMA, lakini yalipuuzwa

    Kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sugu awaomba CHADEMA kuiunga mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais

    Wakuu Ni kweli Sugu amesema CHADEMA iwaunge mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais au ni uzushi? mwenye ukweli wa wa hizi taarifa naomba msaada.
  12. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema amekiri CHADEMA imekufa kisiasa

    Kuna Habari Mpya Kuhusu Kauli ya Godless Lema
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA maandamano ya Oktoba 29, na taifa lililojaa watazamaji badala ya wananchi

    Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Viongozi wote wa CHADEMA tumezuiwa kutoka nje ya Tanzania

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya kisiasa kwa njia ya mtandao, akizungumza kwa uwazi kuhusu masuala ya demokrasia, haki za binadamu, na mustakabali wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Akizungumza kwa njia ya mtandao leo Septemba 19...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa mjini, Frank Nyalusi afariki Dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo Ijumaa Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za Kifo chake zimethibitishwa na Viongozi wa chama hicho mapema hii leo...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama 7 wa CHADEMA wajiunga CCM

    Kwahiyo wameona kampeni ya No reforms no Election kwao ni ngumu? Au ndio wale CCM wanavalishwa nguo za CHADEMA kionesha umma kutulisha tango pori?! Yaani CHADEMA avumilie kote huko aje kuhama leo? Msitufanye watu wajinga bana😂🤣🤣 ========= Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC)...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA imethibitisha kufanya mipango ya kuwakusanya wananchi mahakamani kufanya fujo

Back
Top Bottom