chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuseme ukweli, mwanachama wa CCM, akifungua kesi dhidi ya Wadhamini wa CCM, Mahakama itakipiga marufuku CCM kufanya shughuli zake kesi ikiendelea?

    Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha. Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Shida hatuna, Chadema wana kimbelembele ! Shida zikitubana kisawasawa tutapaza sauti wenyewe sio kusubiri chama au kucharaza keyboard vyumbani

    Nawashangaa hao Chademawapo bize sana kutetea watu, watu waliobanwa na shida huwa hasubiri kutetewa, automatically wenyewe tu wanapaza sauti. Sioni kama nchi yetu ina shida kihivyo kama chadema wanavyozikuza, waache kimbelembele. Nikishiba, Timu yanguikishiriki kimataifa na nikipata starehe...
  3. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA kwa wananchi ni kubwa mno zaidi ya viongozi wanavyofahamu

    Baada ya hii mikutano ya No reforms No election inayoendelea nchi nzima nilichogundua uungwaji mkono kwa CHADEMA ni mkubwa mno zaidi ya uongozi unavyolichukulia.. Kwa maoni yangu kama chama kitajiwekea mikakati madhubuti ya ukweli na uwazi hiki chama kina uwezo wa kujiendesha bila pesa ya...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

    Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Brenda Rupia: Tunaona kabisa kwamba huyu Jaji amepewa maelekezo yenye nia ovu na Chama chetu

    Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda, kauli iliyotolewa leo Juni 10, 2025 === Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Yote yaliyofanywa na Serikali ya Makabulu dhidi ya ANC Afrika Kusini, Yafanywa na Serikali ya CCM dhidi ya Chadema

    Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini. Afrika kusini, Serikali ya Makabulu kupitia njia za kisheria walikifungia kufanya siasa Chama cha ANC...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

    Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani. Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA. Niliandika Uzi...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana: Kwani CCM, CHADEMA imewakosea nini kikubwa

    Ni wazi na ni dhahiri mtajivua uwajibikaji na ushiriki kwenye kuihujumu CHADEMA.. lakini sasa ni too much hata viziwi na vipofu wanajua Je mwamko mkubwa wa tonetone Je ni moto mkali wa NO REFORMS NO ELECTION? Je ni nyomi zinazozidi kufurisha viwanja kwenye mikutano ya hadhara? Case study Dodoma...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nilidhani CCM wameimaliza CHADEMA baada ya CHAUMMA kupata ufadhili kumbe bado wanaiogopa CHADEMA

    Kama CCM haina hofu na CHADEMA hii vuta ni kuvute dhidi ya CHADEMA tusingeiona. Mission CHAUMMA imefeli na sasa hivi hii sio CHAGADEMA ni CHADEMA. Kama huna hofu na mtu asiye lolote kwa nini uhangaike? Mara kamatakamata, mara muwapige mawe. Operation Chaumma imefeli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Msifadhaike wala msife moyo. Ukombozi unakaribia

    Poleni sana CHADEMA. 1. Wamempa Mwenyekiti wenu kesi wanayoita ya uhaini mpaka sasa yupo mahabusu. 2. Wamewafuta baadhi ya viongozi wenu. 3. Wamenyang'anya Ruzuku ya chama na mauza uza mengine mengi mmefanyiwa. 4. Leo wamepiga marufuku shughuli za kisiasa za CHADEMA. Jipeni moyo. Msikate...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

    Hamjambo Wote! Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji. Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu. CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yasepa na kijiji Kigoma Kusini, nyomi lake lawashtua CHADEMA, ACT na CCM

    Wakuu Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025 ==== Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili Msomi Hashim Rungwe kwenye eneo la Sunuka, Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ameambatana na Makamu Bara...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa tena kwa Samia

    Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa. Watakimbia kufunga ofisi na kupiga watu kama kawaida yao ili wapande vyeo Majaji nao wanaweka uchawa ili wapande vyeo. Tanzania tuna kazi Wanayosema Chadema kuhusu mfumo mbovu sasa kila kitu kiko wazi
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la 'No Reforms, No Election' linatafutiwa kila sababu ili likomeshwe, kwanini wanakiogopa chama ambacho wanasema kinaenda kujifia?

    Wakuu Naona Serikali ni kama inatafuta kila njia ili wapate kuisimamisha CHADEMA katika harakati zake za kuzuia uchaguzi. Tuliona asubuhi waraka wa msajili akivitaka vyama vya siasa kufuata na kuheshimu sheria katika mikutano ya hadhara na hapa kwa kiwango kikubwa tunajua kuwa lengo lilikuwa...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
  17. Farolito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

    No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema? Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
Back
Top Bottom