Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais
Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu kina Rioba, wamemtumia Pole lkn ngoma ipo palepale.
Kamwe nchi haiwezi kuyumbishwa na genge la wahuni wanao dhani wanaweza kuichafua amani ya nchi.
Nashauri hawa wahuni wote wafuatiliwe hadi chooni.