chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu ndie Paul L Fulano. Kada wa CHADEMA ambaye kama hakuna wizi wa kura lazima awe mbunge wa Sengerema

    Huyu ndie Mwamba wa Chadema Sengerema.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Umashuhuru wa Mama 2021-2022 uliletwa na Chadema kumbe!! angalieni sasa

    Ukweli unauma kumbe Mama ni kama punda aliyembeba yesu alifikiria ni yeye mashuhuri sasa ukweli unajulikana kwa kushuka sana kwa umashuhuri wake. Wakati ule maongezi ya Haki na demokrasia ndiyo yalimpa umashuhuri sasa yupo na wana mitandao wakina Kikwete na Rostam tunaona tofauti.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo lijalo la CCM hawana vijana mahiri kama wa Chadema

    Hivi ukiangalia CCM chama kimajaa wazee wakina Kikwete, Samia. Vijana wengi hawana uwezo Chadema angalia viongozi wao ni vijana
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania John Mnyika aelezea hisia zake baada ya maamuzi ya Mahakama kuhusu mgawanyo wa mali

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho. Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri :- CHADEMA , kwakuwa wanakubalika sana na Watanzania naomba wawekeze nguvu kubwa kufanya siasa za mitandaoni hiyo pekee inatosha sana

    Kwakuwa Kwa sasa Chadema inafanyiwa hujuma mbalimbali. Naomba wawekeze Katika majukwaa ya mitandaoni , Hizi Hujuma wanazofanyiwa Chadema zisiwe sababu za wao kurudi Nyuma. Tone Tone iendelee kama kawaida iwe online na hela inayokusanywa iwe inatolewa taarifa ili kuanagalia Speed na kuboresha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Jeshi la Polisi Pwani limetoa taarifa ya uongo kuhusu kukamatwa kwa wanachama wetu Kibaha

  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mgawanyo wa mali uongozi wa CDM wakwaa kisiki tena

    Ombi la uongozi wa Chadema kutaka kuendelea kutumia mali za chama zenye mgogoro limegonga mwamba na kutupiliwa mbali.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Maadui wa CDM

    Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako. Ongeza orodha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
  11. meningitis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mmeishiwa mbinu? Serikali haina dini na haitaongozwa kwa misingi ya dini

    Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka. Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahitaji kuwa na Malcom X na Steven Biko wao ili kusaidia siasa za ki Mandela na ki Martin Luther

    Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku. Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imeaminisha watu kuwa Act-Wazalendo ni CCM 'B'

    Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa. Chanzo...
  14. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatma ya zuio la shughuli Kisiasa kwa CHADEMA kujulikana leo Agost 18, 2025

    Kesi ya madai dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho inatajwa leo, Agosti 18, 2025, katika Mahakama Kuu. Shauri hilo Na. 8323/2025) linahusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambapo baadhi viongozi wa CHADEMA walizuiwa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mahojiano haya ya Heche yalikuwa Classic. Asema CHADEMA itamshtaki OCD wa Nkasi Ingawa Inajua Mahakama Haiwezi Kutenda Haki

    Mahojiano yaliyofanywa na Jambo TV na Heche, kwa kweli majibu aliyoyatoa Heche kwa kila swali yalikuwa ya kiwango cha juu hasa. Huko CCM huwezi kumpata kiongozi wa namna hiyo. Heche anasema udikteta wa Samia ni wa kiwango ambacho hakijaaahi kushuhudiwa, japo hapo mwanzo aliwadanganya. Heche...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wamevamia Kikao chetu cha ndani Kibaha, wanachama Sita wakamatwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani. Katika...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Yanga sc, CHADEMA tumepuyanga

    Licha ya kuwa Mimi ni mwanachama hai na kindakindaki wa CHADEMA, ila siungi mkono na nalaani vikali barua yetu yakuishitaki Yanga sc huko Fifa! Nasema kwa hili la Yanga sc ,mmepuyanga , Yanga inaviongozi ,wanachama na mashabiki. Hayo yaliyofanywa yalifanywa na raisi wetu Eng.Hersi kwa utashi...
  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishitaki YANGA kwa barua kwenda FIFA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
Back
Top Bottom