Video: Hakika CHADEMA imekufa na huko Iringa Msigwa ajiandae kuachia Jimbo

Advantage waliyonayo CDM ni kwamba wananchi wameshawakubali kitambo.... kinachotakiwa ni kazi ndogo tu ya uhamasishaji - hayo mengine ya ngombe ageuziwe wapi wakati wa kuchinjwa yashapatiwa ufumbuzi.
 
Poleni MATAGA!!!

Baada ya mapambano makali ya CCM na CHADEMA saizi ni muda wa kuangalia movie maana tuliweka wasiwasi kwenye kila kitu ili kuhakikisha CHADEMA inapata walau wabunge wawili kwenye uchaguzi wa 2020.. Kwa vulumai zilizopo Mbeya ni muda ya SUGU kusaidia CCM ipite bila kupigwa maana naye amekamilisha miaka 10…

Watu wa interest mlisahau hii movie

tume ingekuwa huru Magu anapigwa chini saa 4 asubuhi tu

Back
Top Bottom