Wanaccm mmejifunza nini kwa CHADEMA? Hii ndiyo maana ya "CHADEMA ni msingi"

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema.

Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia kwenye mitandao mpaka kwenye majukwaa. Mumeumbuka mchana peupe peeeee!

Silinde alipokuwa kwetu alikuwa Silinde kweli kweli, kaenda CCM kawa "Silindege" kipaji chote chali! Kule Kilombero habari mnazo. Mwanza na Mara mnaona wenyewe. Hapa Dar ndiyo kabisaaa.

Mbaya zaidi mnamchukua mtu leo, kesho anasahaulika hata jimboni kwake. Mliegemea siasa za hovyo hovyo yamewashuka sasa.

Tukutane Oktoba tunyoane kweli kweli majukwaani! Upinzani wa mwaka huu haijawahi kutokea Tanzania! Ni hoja baada ya hoja! Na mbaya zaidi tumejipanga kila idara. Msitegemee tena sisi kulia lia.

Sisi tulipokuwa tunafanya Chadema ni msingi, nyie mpo bize kufanya utopolo. Mkatumia vyombo vyote kujinadi lakini wapi. Hamuuziki na mbaya zaidi unyama wenu hadharani peupee! Njooni na hizo hoja zenu nyepesi sijui za ndege, stigilaz, sijui standard geji, na sasa kuna nyingine ya uchumi wa kati tutazivunja vunja mapema tu. Haina kuogopa polisi wala nani.
 
Honge la hoja.. ebu kula ngoma hii kali.

Bila kumsahau game changer, yupo Ubelgiji anamalizia mapaja ya kuku. Safari hii jiwe ajiandae.
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
G Sam hivi yakitokea (na definitely yatatokea) ya uchaguzi wa serikali za mitaa CDM ina strategy gani kuyakabili?
 
Chadema kwa kutunga nyimbo mko vizuri cheki huo wa harusi mwisho wa siku hamshindi mnaishia kuimba.Kwa nyimbo hamjambo
 
Hizi Ngonjera toka enzi za zitto yupo chuo bado mnaimbaga tuuuuu.
 
CCM haijui ipambane na nani , mbowe , Lissu au watia nia ?
sasa sisi tuna haja gani ya kua na kiherehere, nyie ndio.mmechanganyikiwa , mara lissu, mara nyalandu, mara membe, mara mbowe, shuhulikeni na huo mchanganyiko wenu ndio mje kwetu
 
Umewanyoosha vizuri kwa andiko murua kabisa, wamepoteza pesa za walipa kodi bure bendera ya Chadema bado inapepea, na itaendelea kupepea.
CHADEMA haina POLISI, TAKUKURU wala TISS, ila ina watu waTZ. Lazima tuelewane mwaka huu.
We shall overcome. AMEN
 
Na bado CDM hawafunguliwa na wakuu bado wapo hospitali wakitibiwa sijui itakuwaje watakapoanza kampeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom