Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu.
Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
Nawaomba Sana wapinzani Tanzania nzima,waelimisheni wananchi Tanzania nzima wasiwachague wabunge kupitia CCM.
CCM inahitaji wabunge wengi ili kubadili kipengele Cha katiba Kuondoa ukomo wa Uraisi.
Siongei majungu,wanatafuta tu idadi ya kutosha ya wabunge wa Ndioooooo.
Kumbuka Nkamia alitoa...
Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali iliyopo madarakami na kushawishi wananchi waingie barabarani pindi jina lake lisiporudi kwa ajili ya...
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.
Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.
Jacob...
Kwa mtu yeyote kuwa mwanachama wa Chadema hadharani wewe utakua sio binadamu wa kawaida.
Ukiwa mwanachama wa Chadema jitambue kuwa wewe Ni tageti namba moja wa kundi hatari kabisa hapa Kusini mwa jangwa la shahara liitwalo CCM.
Kundi hili lina nguvu sana. Kuna watu wameumizwa na kundi hili...
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu.
Ni aibu...
Kama Mwana CCM, tena mbunge mstaafu anayetetea kiti chake kwa mara nyingine, napata wakati mgumu sana jimboni ninapokutana na wapiga kura na washabiki wa CCM. Inaonekana wazi kabisa kwamba tunapoteza wanachama wetu wengi mno, kitendo ambacho kitatutia aibu ifikapo kipindi cha uchaguzi. Majuzi...
Hapo vipi!
Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi.
WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha.
Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA
Leo 12:15hrs 15/08/2020
Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, ndugu Zitto, mashtaka hayo yalikuwa ndio hitimisho la shutuma za muda mrefu toka 2012...
Ndugu zangu CHADEMA ukweli tutauseme hata Kama hamtaki Ila tutasema tu, nyinyi ni jipu kubwa Sana katka ustawi wa vyama vya upinzani kiasi kupoteza Imani kubwa kwa wananchi tulowaamini kabla ya kuja kugundua uovu mloficha ndani ya nafsi zenu.
Hakuna wananchi wenye akili wanaoendelea kuwasapoti...
Mkuu wa wilaya ya Hai Sambai ametajwa Leo katika mahojiano ya Polisi Moshi kuwa aliratibu vijana wa kufanya fujo Bomang'ombe na kurusha mawe kwa ujira wa Elfu 20 kila mmoja.
Hivi Rais Magufuli, uliwatoa wapi vijana kama hawa na kuwapa madaraka? Kweli mtu anayekuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi...
It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema?
Well. Tufutane ili...
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.
Serikali na...
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
Ni Ijumaa tulivu.
Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu.
Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
Taarifa zilizosambaa leo asubuhi ni Ofisi ya Chadema Arusha kuchomwa moto. Nimepitia mijadala mbalimbali kwenye kurasa tofauti za mitandaoni ya kijamii. Nimeona nije hapa baada ya kuona Twitter ya Mh Mdee aliyewahi kuwa Mbunge wa Kawe tena mwanasheria kuhusisha jambo Hilo na CCM.
Mimi ni...