Enyi Wapinzani wa kweli Chadema na ACT waelimisheni wananchi juu ya bunge lijalo.

lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,670
2,000
Nawaomba Sana wapinzani Tanzania nzima,waelimisheni wananchi Tanzania nzima wasiwachague wabunge kupitia CCM.
CCM inahitaji wabunge wengi ili kubadili kipengele Cha katiba Kuondoa ukomo wa Uraisi.
Siongei majungu,wanatafuta tu idadi ya kutosha ya wabunge wa Ndioooooo.
Kumbuka Nkamia alitoa wazo,Mzee ruksa ,Msukuma na wengine. Wengi.
Naomba muwaelimishe wananchi madhara ya Uraisi usio na kikomo.
Hebu fikiria miaka mitano ya mateso,ikiwa Hakuna ukomo itakuaje?
Peleka ujumbe huu mbali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom