Wananchi tuwe makini na CHADEMA

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
2,165
3,656
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
 
Ukisikia akili za kulengea tundu la choo basi ndio hizi!Hivi lumumba hamuelewi tu kuwa hizo propaganda zenu mfu zimeshapuuzwa?Watanzania wa leo sio wa miaka ile!
 
Uvyonatoa hoja kama mtu mwenye akili kumbe Shithole tu. Wewe hushangai kwanini viongozi wako hawajibu hoja yoyote kutoka upinzani? Unajua kwanini? Sasa tambua kuwa "Kende" zao zimebanwa na koleo..wakisema "suu"! Ule urojo unamwagika! Ha ha ha!!
 
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
Always governments ndio zinavunja amani za nchi worldwide throughout history!

Na tunachoona ni exactly hicho!

Hakuna mtoto hapa!
 
uongo utakusaidia nini ?
 
Ujinga ni ujinga ! tu kwani hauoni nani anafanya fujo sasa! mifano ya nchi ambazo hata huzijui wakati fujo zinafanyika Tanzania mwana CCM gani kapigwa risasi, kavujwa miguu, kapelekwa jela???

Wengi wenu mmekuwa kama misukule hata hamjui mnalo sema
 
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
Hey dude, are you a product of bursted condom
 
Unaota. Tambua wajinga na waoga wanazidi kupungua. Wingi wa vijana unaifanya ndoto yako kuwa ya alinacha
 
Sasaiv chadema Wana tembea na Marungu na gar ya mawe alafu anasema anataka awakomboe Wana nchi kumbe anawalenga namawe
 
Kuna baadhi ya nyuzi zinatokana na busted rubber au latex ndo maana utaona harufu ya bustard kind of Lumumbiosis symptoms
 
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
Muhimu ni kuwakamata wahusika wa matukio ili kuwaibisha hao cdm,
 
Huna akili
 
Wanaunguza majengo.. kwa kweli hawa ni watu wa maajabu.. bora tunajua 2020 inaenda kwa Magufuli tena..

Mbowe.. tuliza boli.. tafuna pesa unafisadi za ruzuku.. acha uhuni kama mlivyomtenda mwenzenu pia..
 
Huo ushauri shauriana na familia yako sisi wananchi tumeamua Lissu awe mkombozi wetu
 
Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake.

Serikali na wananchi tumekua wavumilivu Sana kuona staha yao ktk wanayofanya,lakini wameendelea kutukana na hata kutishia kuvunja amani bila kuchukuliwa hatua.

Hawa watu wamebanwa kila Kona ktk Yale waloyapigia kelele miaka nenda rudi,yametekelezwa kwa ustadi mkubwa sana na hatimaye ufisadi kuhamia kwao kwa kutafunwa rudhuku,kujikopesha hivyo fedha za chama,udikteta wa mwenyekiti wao,kununua magari kwa fedha za chama wakati jina la kadi la mtu binafsi,tuhuma za utoaji wa nafasi za viti maalum kwa rushwa ya ngono,Kujitwika uenyekiti wa kudumu wa chama(mbowe),ukanda,ubinafsi na kila takataka.

Sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili tu ya kuanza kuendea ajenda yao.

Ikumbukwe yalotokea ktk nchi nyingi na uasi,basi walitumia stile hii hii.

Kuanzia Iraq, Afghanistan, Libya, Syria, Tunisia, Misri.
Na nchi nyingi Sana zilizoingia ktk uvunjifu wa amani,basi uratibu ukianza hivi hivi,dunia ione Kama wapinzani wanaonewa ili watekeleze matakwa binafsi ambayo ni unyonyaji wa mali za nchi kupitia makampuni yao binafsi.

CHADEMA KWA SASA KUPITIA TUNDU LISSU WANAELEKEA RASMI KUA MA AGENT WA NCHI ZA UNYONYAJI(mabeberu)
Mradi tu matumbo yao na familia yao waneemeke.
Kumbuka ktk jambo la maslahi,ndani ya Chadema wamejaa watu ambao Wana uchu ulopitiliza ambao unajidhihirisha hata ktk fedha za chama wanavyozushambulia na kuzigombania.

Tumeyaona tangu 2015 walivyomtosa Dr.Slaa kisa Hana hela za kampeni,wakampa mtu ambaye waliuaminisha umma miaka nenda rudi kua ndo Fisadi Papaa.

Wananchi tuchukue tahadhari Sana na hii Sacco's
Lumumba Fc....

Kura yangu kwa
TAL
Shila
 
Back
Top Bottom