chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

    Kwa miaka mingi sana tangu kuondolewa kwa Tido Mhando kwenye uongozi wa TBC , Channel hii imejipambanua bila kificho wala uoga wowote kama channel ya ccm , kwa kuonyesha kila kinachofanywa na ccm hata mambo ya hovyo na yasiyo na tija kwa Taifa hili , imewapuuza wapinzani katika kipindi chote...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem

    Wakuu nawasalimu wote, Nimeona kwenye page ya tbc wakitoa taarifa kuwa watarusha mkutano mkubwa wa kihistoria uzinduzi wa kampeni jijini DSM === TBC1 leo tutakuwa mbashara katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka viwanja vya Mbagala Zakhiem jijini Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA lipeni deni la ahadi ya kusimamisha mgombea mmoja wa Urais kwa wapinzani

    Ndugu zangu kwanza kabisa nimshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehema zake, Nijikite kwenye mada yangu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ACT-Wazalendo na CHADEMA mnadeni kubwa kwa watanzania. Ndugu zangu waswahili husema uungwana ni kitendo na ukiahidi tekeleza, itakumbukwa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakati kampeni zikianza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa na mvuto zaidi ya mgombea wa CCM John Magufuli

    Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli. Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

    Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni. Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe fomu. Kuna wengine walienguliwa kwa wakurugenzi kuharibu fomu zao kwa kuongezea maandishi...
  6. JamiiForums Tanzania First lady wa CHADEMA mbona hatumjui?

    Wagombea wa Viti vya Uraisi mpaka hata wakati mwingine Ubunge hujitokeza hadharani na wake zao, mbona mgombea CHADEMA, Tundu Lissu Mke wake hatumjui na wala hajawahi kutoka naye kwenye matukio muhimu tukamjua, future first lady'? Membe na Mke wake
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika Uchaguzi wa Oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio Vyama vya Upinzani

    Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM , ni vyema ikafhamika tu kuwa mpinzani mkubwa wa CCM ni mtanzania kwa maana ya mwananchi ...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa. Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yawawekea pingamizi ACT-Wazalendo Kata ya Wazo na Kunduchi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi wagombea udiwani wa ACT katika kata ya Wazo na Kunduchi. Pia, huko Jimbo la ISIMANI, mgombea Ubunge wa CHADEMA Patrick Olesosopi kamuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo ndugu Haonga kuwa hajui kusoma na kuandika...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

    Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye. Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM. Huyu sio Membe kupitia ACT?
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Pwani: Mtu 1 mbaroni kwa madai ya kumteka mgombea Udiwani CHADEMA

    Mtu mmoja (jina linahifadhiwa) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kuhusika kumteka nyara mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo, Martine Sultan. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

    =========== Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa. Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua kuandika mapingamizi na sisi tunajua hivyo usiku huu nitaangalia kitu gani tunacho ambacho tunaweza...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

    Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki. Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mna saa 24 kuanzia sasa kuweka pingamizi kwenye Majimbo mliyopoteza

    CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM. Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali. Mapambano bado yanaendelea!
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA fuatilieni suala la Uadilifu kwa Wagombea

    Mimi kwa bahati nzuri nina course ya kuwatambua wahalifu. Nimefuatilia mchakato wa Uteuzi ulivyoanza mpaka unaisha. Tumeingia kwenye Mtego ule ule wa Joshua Nassari kufanya makosa ambayo anayajua adhabu yake. Ukitazama kwa Umakini unagundua kuwa maeneo ambayo wagombea wamepita bila kupingwa si...
  17. JamiiForums Tanzania Jimbo la Ludewa: Mgombea wa CHADEMA ashindwa kukidhi vigezo. Joseph Kamonga wa CCM ateuliwa

    CHADEMA LUDEWA WAPIGWA CHINI Ndg. Joseph Kamonga ambaye ni mgombea wa ubunge Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia CCM ameteuliwa na msimamizi wa uchaguzi, Sunday Deogratius kugombea ubunge jimboni humo. Aidha, msimamizi huyo amesema mgombea wa CHADEMA hajakidhi vigezo kisheria.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Castory Msigala aliyegombana na CHADEMA aondolewa kusimamia uchaguzi Moshi

    KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa uchaguzi Moshi vijijini na Vujo Bw. Castory Msigala aliingia katika mgogoro na wanachama wa Chadema chanzo kikiwa ni fomu ya wagombea wa Chadema. Mgogoro huo umesababisha mkurugenzi huyo kuondolewa katika nafasi hiyo ya kusimamia uchaguzi Moshi na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

    Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jeshi la Polisi linawashikilia wanachama watatu wa CHADEMA kwa kughushi barua za chama cha SAU ili wachukue fomu za Ubunge!

    Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya udanganyifu. ------ Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa, alisema jeshi hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…