Kamati Kuu ya Chadema yakutana Mlimani City

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chadema Taifa - 2019 k ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chadema Ta ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 4 - Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chadema Ta ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chadema Ta ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chadema Ta ( 640 X 640 ).jpg


Ni katika Maandalizi ya Uchaguzi wa kitaifa

Mungu ibariki Chadema
 
Huu uzi kikao kamati kuu CDM utachangiwa ana wadau wengi muda mfupi kushinda habari kuu ya leo Rais kuweka jiwe la msingi daraja 699.2 B Mwanza pamoja na kuwa live TV kadhaa. Sijui Watanzania wamechoka nini?
Sorce please
 
Huu uzi kikao kamati kuu CDM utachangiwa na wadau wengi muda mfupi kushinda habari kuu ya leo Rais kuweka jiwe la msingi daraja 699.2 B Mwanza pamoja na kuwa live TV kadhaa. Sijui Watanzania wamechoka nini?

Mkuu elewa wachangiaji wengi wa humu wapo nje ya Tanzania vile vile baada ya hiki kijiwe kununuliwa rasmi na Chadema wengi hawako interested na Mbowe na genge lake la wahuni.
 
Back
Top Bottom