Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkono wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema UMENYOOSHWA kwako kwa ajili ya MARIDHIANO. Je, utaupokea au utausukumia mbali!!?
Alichosema Mwenyekiti wa Chadema kina umuhimu wa pekee. Upinzani kwa ujumla wake una wanachama na wafuasi kwa mamilioni katika...
Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika.
Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM.
Ni vema basi Chadema...
Hili tulitabiri, viongozi wa CHADEMA mliwaponza waliostahili kugombea nafasi za ngazi za chini kwa kususia uchaguzi. Nilitegemea msimamo huo huo hadi mwakani kama CUF walivyoonesha msimamo wao Z'bar kwa miaka yote.
Lakini kwa kujua ulaji wa viongozi huko Bungeni, hata kabla ya mwezi mmoja...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
Nimefika jijini Mwanza nikiwa na kijana wangu ambaye ni mfurukutwa wa CHADEMA tayari kushiriki sherehe za uhuru hapo kesho.
Huyu kijana wangu anatamani siku ya kesho avae T shirt ya chama akipendacho cha CHADEMA lakini kwa bahati mbaya tulikozunguka kote hatujafanikiwa kuwaona wajasiriamali...
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa.
Chanzo: Mwananchi
Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli amethibitisha kwamba yeye ni chuma.
Pamoja na jitihada zake nyingi za kujaribu kujenga Tanzania Mpya na mafanikio ambayo tunayaona kuna maeneo ambayo kwa hakika kabisa anaenda kukiua chama cha Mapinduzi CCM na kuimarisha chama cha Upinzani hasa Chadema...
Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lissu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa...
CCM na Chadema ndio vyama vinavyopewa ruzuku kubwa na serikali, CCM ikikaribia sh bilioni 1 kwa mwezi na Chadema takribani sh milioni 326 kwa mwezi.
Hizi ni fedha nyingi tena ni kodi zinazokusanywa kutoka kwa wananchi wanyonge hivyo zinahitaji matumizi yake yasimamiwe kwa mujibu wa kanuni na...
Inasemekana (japo bado naendelea kulithibitisha hili) kwamba mmoja wa viongozi ‘waandamizi‘ kabisa ndani ya CHADEMA alisikika akimwambia mtu kuwa ili uwe Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA na uaminike basi ni lazima uwe angalau katika maisha yako ya ‘kutukuka‘ kabisa ndani ya CHADEMA uwe umekumbana na...
Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS.
Hivi majuzi ulianza mchakato wa uchakuzi mkuu ndani ya CHADEMA kuwachagua viongozi wao wakuu wa kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano mbele, mchakato huu umeshuhudiwa ukigubikwa na vitimbi vya kila aina ndani ya chama hicho.
Hivi majuzi...
Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama.
Ghafla maswali machache yanaibuka:
Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena.
Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...
Great thinkers!
Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania.
Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti.
Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.