chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. For CHADEMA Followers: What comes around goes around

    Naomba niwasabahi wanachama wa jf,hamjambo? Naomba niende kwenye hoja yangu juu ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA,Naomba niweke kumbukumbu sawa, hakuna mwaka ambao chadema aliwahi kuvuna wanachama wengi toka CCM kama mwaka wa Mafuliko 2015, ambapo watu mashuhuri toka CCM walijiunga na CHADEMA...
  2. Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

    Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe...
  3. J

    Mwita Waitara aagiza mwenyekiti wa CHADEMA aliyeuza kifisadi uwanja wa shule huko Tarime kukamatwa mara moja

    Naibu waziri Mwita Waitara amewaagiza Polisi kumkamata mara moja Mwenyekiti wa serikali ya mtaa kupitia Chadema aliyeuza uwanja wa shule kifisadi na kinyemela. Waitara amesema mwenyekiti huyo tapeli wa CHADEMA ameitia aibu serikali ya awamu ya tano kwa kitendo hicho cha kiutapeli. Naibu waziri...
  4. Kwa Diaspora CHADEMA damu

    Watu mnaoipenda chadema mlio nje hususan Marekani mnatakiwa kukisaidia chama kwa kufanya fundraising kukisaidia chama kulekea kwenye uchaguzi, nilizungumza na kiongozi mmoja alinipigia akiniomba nisaidie kufanya mobilization jukumu ambalo kwangu peke yangu naona ni gumu ndio maana nimelileta...
  5. J

    Wabunge wa viti maalum kule CHADEMA hawana hamu ya kuhamia CCM?

    Sijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why? Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  6. Mbowe: Tunawafahamu wote wanaotaka kuzua migogoro ndani ya CHADEMA na kutaka kuhama ila hatutawafukuza

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema wanawafahamu Wanachama wote wa chama hicho wenye nia ya kutengeneza migogoro na baadaye kuhama Hata hivyo, kiongozi huyo wa Chadema amesema hawawezi kuwafukuza katika chama hicho hadi pale watakapoamua kuondoka wenyewe. Mbowe aliyasema hayo jana...
  7. Chadema Hapa mmebugi. Kubalini matokeo

    Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame ..... Poleni sana...
  8. J

    Mnyika akiisimamia vizuri ruzuku ya chama na michango ya wabunge CHADEMA wanaweza kuimarika tena

    Kama tujuavyo Chadema iliweza kuimarika sana baada ya ujio wa mzee Lowassa na rafiki zake katika chama hicho. Lakini mara baada ya mzee Lowassa kuamua kurejea CCM na kundi lake Chadema wameanza kudhoofu na amkani hali si shwari. Ujio wa kiongozi kijana J J Mnyika kama katibu mkuu mpya inaweza...
  9. T

    Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa pale tu CHADEMA na wapinzani kwa ujumla watakaposusia Uchaguzi Mkuu 2020

    Kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, nilipost uzi unaosema kuwa CCM wameweka mapandikizi yao yagombee lakini niliishia kupigwa BAN ya miezi mitatu na hawa moderator mpaka uchaguzi ukaisha bila bila. Sasa leo nawaambia hivi, CHADEMA na upinzani kwa ujumla mnatakiwa kutoa tamko la...
  10. J

    Je, Katibu Mkuu wa CHADEMA analipwa mshahara? Mbona Dkt. Slaa na Dkt. Mashinji wameondoka wakiwa wadaiwa sugu wa benki?

    Jana nilimsoma pahala humu JF mkuu Douglas Sallu akiwa ametoa tangazo la benki fulani likiwataja kwa majina na picha wadaiwa sugu wa benki hiyo. Miongoni mwa wadaiwa hao yumo Dr. Mashinji. Dr. Slaa alipoondoka Chadema naye alikuwa na deni na nyumba yake kule mbweni almanusura ipigwe mnada sema...
  11. K

    Isingekuwa Kujitoa CHADEMA na Kujiunga CCM...

    CHADEMA ingekuwa katika hali mbaya sana, kama wote waliojitoa ndani ya chama hicho, huku wakielekeza tuhuma zao kwa viongozi wa chama, wangekomaa tu, angalau kwa muda bila kujiunga CCM, watu wengi wangeelewa kwamba ndani ya CHADEMA pana matatizo makubwa. Lakini hizi juhudi za kukidhoofisha...
  12. Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Na. M. M. Mwanakijiji Hili ni swali ambalo linahitaji jibu. Kwenye nchi na vyama vya kidemokrasia mojawapo ya kanuni muhimu ni ile inayotaka viongozi wa juu wa chama kuwajibika mara moja pale vyama vyao vinaposhindwa uchaguzi. Hili ni kweli hasa pale kiongozi anapowekeza mkakati mzito na...
  13. CHADEMA: Kuna wengine watamfuata Dkt. Mashinji

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) kimesema baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Dkt. Vicent Mashinji kujiunga CCM, wapo wanachama wa chama hicho watakaomfuata. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Februari 18, 2020 Mkurugenzi wa Itikadi, Uenezi, Mawasiliano na Mambo ya...
  14. M

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  15. Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

    Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga...
  16. J

    Uenyekiti CHADEMA ni sawa na tunda la mti wa katikati pale Eden, ukiligusa tu unatupwa nje ya Bustani kama Zitto, Sumaye na Mwambe

    Kiukweli kitendawili cha nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA ni kigumu sana kukitegua. Kwanini Mwenyekiti yuko madarakani kwa zaidi ya miaka 20, ndilo swali kuu! Je, ni demokrasia, ubabe au udikteta? Kwanini kila aliyetamani kuwa Mwenyekiti wa Chadema leo hii hayuko katika chama hicho chenye...
  17. J

    Tetesi: Madiwani wa Chadema jimbo la Mtama kujiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa

    Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa. Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na...
  18. Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam - Feb 15-16, 2020

    Mungu ibariki Chadema
  19. J

    Waitara: NEC ni Tume Huru ya uchaguzi, 2015 niligombea ubunge kupitia CHADEMA Tume Huru ikanitangaza mshindi

    Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula. Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…