chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu Jana ameingia Kigoma kwa kishindo kikuu. Alilakiwa na Maelfu Elfu ya watu waliojipanga majiani huku wakitandika mikeka chini shujaa huyo wa karne hii apite juu yake. Akihutubia umati mkubwa unaokadiriwa kuwa na watu zaidi ya Elfu 30 katika...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitengo cha habari cha CHADEMA wanyoosha mikono juu, waeleza tu mafuriko ya wanampokea Lissu si alichosema sababu hakipo

    Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania ‘Lobbying’ ni kazi muhimu ya kibunge ambayo Wabunge wa CHADEMA waliishindwa

    Moja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi. Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma. Wabunge wote wa Chadema waliopita walionesha...
  4. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hongereni vijana wa chadema kwa aina hii ya kampeni

    Watu kama hawa ni haki yao kutafuna Ruzuku ya chama hapo badae wamefanya kazi kubwa sana wapewe heshima yao. Note: ni burudani na vituko tu vya kampeni.
  5. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wetu wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, mkoa wa Katavi na Wilaya ya Mlele hujuma mlizomfanyia Tundu Lissu kwa sababu tu ya pesa hazikubaliki

    Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais Tundu Lissu alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda. Hakika viongozi wetu (Musa Masanja Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini siyo Rais wa Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT. Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika. Lakini kwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama wana CHADEMA 'wanaozunguka' kuomba 'Kura' za Halima Mdee 'Kawe' wana 'Udhaifu' huu, basi 'namtabiria' Askofu Gwajima Ushindi asubuhi tu!

    Jana nilibahatika Kukutana na wana CHADEMA baadhi ambao nadhani ( nahisi ) walipewa 'Jukumu' la Kupitapita Kawe hasa katika 'Nyumba' za Watu na Kumuombea 'Kura' Mgombea Ubunge CHADEMA Halima Mdee. Sina tatizo na 'Mbinu' yao hii ila GENTAMYCINE nina tatizo Kubwa sana na 'Competence' ya hawa wana...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: ACT - Wazalendo na CHADEMA tunaongea ili tusimamishe mgombea mmoja

    Ndugu zangu najua mtakuwa mnanishanga . kila kukicha ukweli ni kwamba bado ACTwazalendo wanaongea na CHADEMA tuweze kuwa kitu kimoja, lakini hadi sasa mambo ni mazuri na kama mnavyo ona hi graph ndivyo mdogo wangu @TunduALissu atakavyo shinda kama wa Tanzania, tukiamua. - Bernard Membe
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA imeshanyakuwa miji mikuu yote katika kila mkoa, hauhitaji darubini kuuona ukweli

    Kila alipopita Mgombea wa Urais wa CCM akipita wa CHADEMA mahudhurio wananchi waliofikia umri wa kupiga kura inakuwa ni mara mbili,Ni ukweli usio pingika ambao utadhihirishwa kwa usahihi zaidi siku na baada ya upigaji kura na kura kuhesabiwa. Unajua Mheshimiwa Magufuli chama chake kinawavutia...
  10. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Corona imekwisha?

    Na Victor Yohana (uvccmichenjezya@gmail.com) Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19. Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afisa maudhui CHADEMA kizimbani

    Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Akisoma hati ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi...
  13. Chapa Nalo Jr

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa CHADEMA bubu, Lissu amtembelee

    Nimeona mitandaoni mgombea Bubu wa CHADEMA anamwaga sera kupitia kwa mtafsiri. Nimevutiwa sana nae. Naombea ashinde. Hivyo naomba Lissu aende kumsaidia.
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    CHADEMA inahitaji wataalamu wa stratejia ya siasa (Political Strategists) kuweza kuitoa CCM madarakani kwa urahisi. Vyama vikongwe na vyenye dola kama CCM vinahitaji kufanyiwa mkakati maalumu ambao hauhitaji nguvu. Kama ningepewa fursa ya kutoa ushauri wa kimkakati wa kuitoa CCM ningeshauri...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA buried 2015 and reviving 2020 as the salvation Army through his Saint Tundu Lissu✅

    To be honesty CHADEMA is there for God purposes and The miracles. In five years, CHADEMA faced a lot of challenges such most of their leaders shifted from CHADEMA to CCM without any critical reasons. As well CCM began to deployed propaganda that oppositions in Tanzania had already buried...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afafanua sera ya CHADEMA ya uhuru, haki na maendeleo ya watu

    *Does it make any sense?* Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Na TUNDU Lissu 16.09.2020 Mbeya. Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

    Ni siku mbili tu baada ya Magufuli kutoka hapa!
  18. Nguruka

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA vipi, jiwe la Tume ya Uchaguzi liliwapata gizani

    MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi. Mgombea Urais kupitia Chama cha...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kubadili gia angani kuhusu Sera ya maendeleo ya watu?

    Kutokana na mwenendo wa kampeni ulivyo sasa. Ni dhahili kwamba watu bado wanahitaji maendeleo ya vitu kwa sana. Watu wanahitaji Maji, Umeme, Barabara, Reli, Ndege n.k na sio maneno maneno. Na kutokana na kampeni zinavyoenda CDM imewakuwa ikiacha wapenzi wake njia panda bila kuonyesha hasa nini...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msemaji wa CCM aisifia CHADEMA mbele ya mama Samia Suluhu

    Haya sasa, msemaji mwingine kaunguza mboga huku!
Back
Top Bottom