Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA bubu, Lissu amtembelee

naunga mkono hoja ikiwa itawezekana...ni mkakati mzuri sana pia ni kielelezo kwamba chama ni cha watu wa aina zote bila kujali mapungufu yao ya kimwili.
CHADEMA tumeuthibitishia ulimwengu kwamba tunafanya inclusive politics kila mwananchi ana haki sawa ndani ya chama chetu.

Tunachagua wenye sifa kuongoza watanzania siyo wenye hela za kuhonga wajumbe.
 
Cdm ndiyo nyumbani kwa demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
Rukwa Mwaka 2015 CHADEMA ilikuwa na Diwani aliyechaguliwa akiwa mfungwa. Yaani mgombea Udiwani wa CHADEMA alibambikiwa kesi ya kumtukana katibu kata wa CCM mwezi Septemba na akafungwa miezi 3, uchaguzi Oktoba akiwa jela akachaguliwa kwa kura nyingi. Akatoka jela Novemba na kuendelea kutumikia wananchi.
 
Hiyo ndiyo Chadema kwenye ubora wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rukwa Mwaka 2015 CHADEMA ilikuwa na Diwani aliyechaguliwa akiwa mfungwa. Yaani mgombea Udiwani wa CHADEMA alibambikiwa kesi ya kumtukana katibu kata wa CCM mwezi Septemba na akafungwa miezi 3, uchaguzi Oktoba akiwa jela akachaguliwa kwa kura nyingi. Akatoka jela Novemba na kuendelea kutumikia wananchi.
Aisee
 
Back
Top Bottom