chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya CHADEMA kwamba wahudhuriaji wa mikutano ya CCM kwamba wanabebwa kwenye magari naifananisha msemo wa usilolijua sawa na usiku wa giza

    Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu? Mna uhakika gani kama wamejiandikisha au lah!, mnajuaje kama wote wamekuja kwa lengo la kuwapenda maana watanzania ni kawaida yao kuhudhuria...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Afrika Kusini akatwa mshahara kwa matumizi ya ndege ya Jeshi

    Rais wa Afrika Kusini amemkata mshahara waziri wa ulinzi kwa miezi mitatu baada ya kuruhusu maafisa wa chama tawala kusafari kwa kutumia ndege ya jeshi hadi nchini Zimbambwe pamoja naye Septemba 9. Nosiviwe Mapisa-Nqakula alishtumiwa kwa kuruhusu matumizi ya rasilimali ya taifa kwa sababu za...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali... Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA! Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini, Njombe mjini, Bikoba mjini, Mara yoteee, Nyamagana, Shinyanga, Arusha mjini, Karatu,Hai, Rombo, Handeni...
  6. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Igunga apata ajali akiwa kalewa Chakaliii

    Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mara

    Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio . Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ========= UPDATES 1...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama aitaka CHADEMA ijieleze kwanini wanasema wasipochaguliwa wataingia barabarani, Lissu ajibu

    Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kijieleze kwanini mgombea wao kila siku anasema safari hii hawatakubali kuibiwa kura na wakiibiwa wataingia barabarani, Msajili anasema matamshi hayo ni kutishia amani. Majibu ya Lissu: Ni kweli uchaguzi huu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi nzuri sana viongozi wa CHADEMA majimboni, sasa mnashindana kuvunja rekodi na kesho tupo Tarime!

    Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii. Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe) Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara

    Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote...
  11. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi nyingi kwa kamati ya ushindi Chadema, hakika nyie ni wataalam wa siasa

    Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha kuzungumza mbele ya watu, badala yake unaona mgombea wa ccm anasimama anasema, " Chadema wametumwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Napenda CHADEMA na ACT waibiwe kura na wasitangazwe ushindi, CCM watangazwe ushindi

    Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulianza mwaka 1995. Hivyo hadi leo tuna miaka 25 ya uzoefu uchaguzi. Mwaka 1995 tulisema Mrema kaibiwa kura. Mwaka 2005 Freeman Mbowe aliyegomea urais alikuwepo hata wakati Kikwete anatangazwa kuwa mshindi. Mwaka 2010 tukasema Dr. Slaa kaibiwa kura. Mwaka 2015...
  13. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mpeni nafasi Binamu Bananga awe Msemaji wa Chama

    Wakuu nawasalimu, Naushauri uongozi wa CHADEMA wampe kazi ya usemaji wa chama taifa ndugu Binamu Bananga, eneo hili ni muhimu kujibu propaganda na kutengeneza propaganda za kisiasa. Kitengo hiki CHADEMA hakipo sawa kwa maoni yangu, naona Bananga ni mtu sahihi.
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
  15. Patriot

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maprofesa Baregu na Safari mko wapi kuisaidia CHADEMA?

    Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA bila polisi ni wepesi kama pamba, Lissu anaomba hata leo akamatwe lakini wapi

    CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu. Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima...
  17. Nguruka

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo na imani haba kwa mgombea wao Bernard Membe

    Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao. Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meneja Kampeni CUF: Adui wa CUF ni adui wa CHADEMA na adui wa CHADEMA ni adui wa CUF hivyo hakuna sababu ya kuhitilafiana

    Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano, Meneja Kampeni wa CUF, Miraji Mtibwiriko katika viwanja vya viwanja vya Fatuma Mkoani Kagera aliwataka wanachama kuwa watulivu kwa kuwa bado wanahitaji kuwa kitu kimoja. Meneja kampeni huyo alitumia nafasi hiyo kuwaeleza wafuasi hao kuwa adui wa CUF ni...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

    Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo. Lissu yuko Geita.
Back
Top Bottom