Bernard Membe: ACT - Wazalendo na CHADEMA tunaongea ili tusimamishe mgombea mmoja

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,272
47,268
Ndugu zangu najua mtakuwa mnanishanga . kila kukicha ukweli ni kwamba bado ACTwazalendo wanaongea na CHADEMA tuweze kuwa kitu kimoja, lakini hadi sasa mambo ni mazuri na kama mnavyo ona hi graph ndivyo mdogo wangu @TunduALissu atakavyo shinda kama wa Tanzania, tukiamua. - Bernard Membe

 
hizo asilimia za ushindi nakubaliana nazo,ila kusema kuwa Membe ndio kasema ngoja kwanza nihakikishe katika akounti yake ya twitter.
 
Mimi nadhani Membe amewekwa kama backup na moja ya pande hizi mbili. Ikitokea mgombea wao amepata ‘tatizo’ watawaambia wafuasi wao wampigie Membe badala ya upande wa pili.
 
Muungano ni mzuri ila hata tusipoungana Membe ndiye atapoteza zaidi kuliko CHADEMA
Na Membe kashaona upepo wake umekata ila pamoja na yote CHADEMA wasijisahau kama watu wasemavyo kachero huwa hastaafu kwani hata ACT chanzo cha kuanzishwa kwake ni ili iiuwe CHADEMA ndio sababu had leo najiuliza ilikuwa vipi Maalim akahamiaga ACT au naye ndiyo walewale nyuma ya pazia
 
Ka
Haya wale Wazee wa Takwimu bila kibali wamkamate na Membe sasa.
Kaweka za kwake nae ajifariji kidogo, maana mpaka sasa ameshindwa hata kufanya kampeni sasa huyo nae nani anamjari?
Wao waungane tu saana watapata kura zisizozidi milioni mbili.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom