Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais Magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa Hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa...
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi
Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi
Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi
Amesisitiza kuwa bado...
Wakuu hiki Chama mi kimenitia majeraha makubwa hakika. Nakumbuka miaka nane ilopita tukiwa na mama yangu kijijini tukisikiliza radio five ghafla ikatangazwa break news mtangazaji Alli Shemdoe akatangaza kupigwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa NMC moja kati ya majeruhi alikuwepo Abdi Madava...
Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.
Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
Haya yamesemwa na CAG kicheere leo , ikumbukwe kwamba jambo hili lililalamikiwa sana na Maalim Seif wakati wa Mgogoro wa Cuf uliofadhiliwa na ccm.
Mutungi alipuuza kwa vile kulikuwa na viashiria vya ushiriki wake kwenye mgogoro ule .
Hakika muda umeongea wenyewe
Lipumba afungua akaunti mpya...
Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo.
Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
Ndugu zangu,
Karma inafanya yale unayomfanyia mwenzio, taabu wanazopata Chadema huenda ni malipo ya mabaya waliyofanyia waliowainua.
========
Mwenyekiti wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa mtazamo wake kuhusu uamuzi wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama Cha...
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.
Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
March 24, 2020
Radio Deutsche Welle Bonn
Ujerumani
Kipindi kinagaubaga Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili DW afichua kilichojiri katika mkutano wa hivi karibuni baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph...
Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona
Updates
Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais
Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya
Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda...
"Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni.
sababu za utafiti....
Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa.
misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo
1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa...
Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha...
Hizi siasa zinazofanywa na Chadema leo wakiongozwa na Mbowe zilishafanywa na CUF ya Lipumba na Maalim Seif enzi za IGP Omar Mahita lakini zilifeli.
Wakati ule CUF walijiita Ngangari na Mahita akawabatiza vijana wake jina la "Ngunguri" na kilichofuatia tunakijua CUF walihamia uhamishoni Mombasa...
Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.
====
Updates
“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.
“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...