Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais.
Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani atapeperusha bendera ya Chama chake yaani CCM
Mwenyekiti wa Tlp yeye pamoja na kuwa sio mwana CCM...
Umofia wanajamii humu ndani kabla ya yote naomba kusisitiza KUNAWA MIKONO KWA SABUNI NA MAJI SAFI YANAYOTIRIRIKA, ZAIDI KUKAA MAJUMBANI MWETU PIA KUFUATA MIONGOZO NA KANUNI ZA AFYA.
Turejee sasa katika mada tajwa hapo juu, maalumu kwa wanachama, wafuasi, wakereketwa na baadhi ya viongozi wa...
Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena.
Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini?
Je, Chadema haimwamini tena Mungu?
Maendeleo hayana vyama!
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.
Muda wote wamekuwa...
Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema.
Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema.
Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba...
Inashangaza sana na inatia huruma, dunia nzima ipo katika wimbi zito la kupambana na ugonjwa wa Covid-19. Ugonjwa ambao umeua watu zaidi ya laki moja dunia nzima.
Wanasiasa na wafuasi wa Chadema wanakesha mitandaoni kuiombea vibaya nchi yao ipate maambukizi ili chama tawala kionekane...
Chama kikuu cha upinzani Chadema kimeitaka serikali kuliweka katika karantini jiji la Dar es salaam ili kukabiliana na maambukizi ya Covid 19.
Chadema wameshauri kwa kuwa Dar es Salaam ndiyo yenye wagonjwa wengi basi wakazi wake wasitoke nje ya Jiji wala wageni kutoka mikoani na duniani...
Kipindi hiki cha covid-19 ndicho halisi kupima mvuto na ushawishi wa chadema. Tuonyesheni ushawishi wenu kwa kuwatangazia wapenzi wenu wajifanyie lockdown ili tushuhudie nchi inasimama kwa kuwa watanzania wote watakuwa lockdown. Kama mtashindwa kuthibitisha hilo basi hapa tutaamini Nyinyi ni...
Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.
Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa...
Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa...
Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona.
Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika...
Inaeleweka kwa waTanzania wengi kwamba mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, ambapo waTanzania wanatakiwa wawachague viongozi wao wanaotaka wawaongoze ngwe nyingine ya miaka mitano.
Vyama vya siasa vilivyo makini, wakati huu ni wakati mhimu sana wa kuweka mikakati na mipango ya kupata ushindi...
Naibu katibu mkuu wa Chadema Benson Kigaila amesema chama chake kimepunguza sana vikao na kuagiza watendaji wa HQ pale Ufipa st kufanyia kazi kutokea nyumbani ili kupunguza msongamano.
Wakuu wa idara na viongozi wa juu wa chama ndio wataendelea kufanyia kazi ofisini kwa sasa.
Pia Kigaila...
Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa.
Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
Kijiografia manispaa ya ubungo inaanzia Kigogo round about hadi Kibamba kwa maana ya Kigogo, Mburahati, Mabibo, Manzese, Ubungo, Kimara,, Mbezi, Msakuzi, Kwembe hadi Kibamba.
Meya wa manispaa ya ubungo ni mh Jacob Boniface kupitia Chadema hivyo manispaa hiyo iko chini ya chama chake.
Meya...
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.
Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa...
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Frank Ruhasha kutoka Chadema alisema amekuwa katika chama hicho kwa zaidi ya miaka 13 na amewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mkoa wa Kigoma ikiwemo ya katibu wa chama hicho wilaya ya Kigoma,mjumbe baraza kuu taifa na mjumbe mkutano mkuu wa chama taifa.
Amesema ameamua...
Gazeti la Tanzania Daima limemuomba radhi mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro Mh. James Mbatia kwa kumuandika ndivyo sivyo.
Mhariri wa gazeti hilo ameomba radhi katika ukurasa wa mbele wa toleo la leo la Tanzania Daima.
Maendeleo hayana vyama!