chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    GE2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim...
  2. J

    Kosa la kiufundi la kujiweka katika karantini limeimaliza CHADEMA machoni pa wananchi

    Dawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia. Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume. Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama...
  3. M

    GE2020 Lissu, kuna kila dalili wenye CHADEMA yao hawakutaki ugombee urais, kama vipi twen'zetu ACT Wazalendo

    Kila dalili ndani ya Chadema zinajionyesha, brother Lissu wenye Chadema yao hawakutaki ugombee urais kupitia chama hicho. Wangekutaka wangekupa hata signal ya kuwa wako nyuma yako katika kinyang'anyiro hiki. Kuna sauti mitandaoni Godbless Lema anasema "umeanza kujiweka katika tune ya ugombea...
  4. Deo Mwanyika of Bulyanhulu convicted of Tax Evasion

    Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu leo imewahukumu aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, Deodatus Mwanyika na wenzake wawili, kulipa fidia ya TSh1.5 bilioni baada ya kupatikana na hati ya kukwepa kodi. Imetoka wapi? Soma TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa...
  5. Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  6. Vyama vya upinzani hebu tusemezane kidogo

    Mwaka huu hapo October kutakuwa na uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Ninaimani mtasimamisha wagombea wa urais, wabunge na madiwani. Nataka tusemezane jambo moja kubwa kwa kuwa wabunge na madiwani wa upinzani baada ya uchaguzi wanahamia CCM hatimaye taifa linaingia gharama za kurudia...
  7. Kuna mpasuko mkubwa unakuja chadema

    Wakuu umofia kwema?? Kabla jf haijawa bussy naomba niweke kumbukumbu yangu pia kuwa natabiri mpasuko mkubwa CHADEMA. "Master Keyboard Worries (MKW)" hawajui wampambanie Lissu au ile familia yenye utukufu mwingi. Je wamiliki wa Sacco's watakuwa tayari utukufu uende kwa mnyaturu? MKW watakuwa...
  8. J

    GE2020 Chadema: Zoezi la kutia nia kugombea nafasi ya Rais wa JMT limefungwa rasmi tutatoa orodha ya walioandika barua

    Afisa habari wa Chadema mh Makene amesema zoezi la kutia nia kugombea urais wa JMT kupitia chama hicho limefungwa rasmi. Tarehe ya mwisho ilikuwa ni 15 June, 2020 saa 10:00 jioni. Orodha ya walioandika barua itatolewa na utaratibu unaofuta mtaelexwa. Freeman Mbowe amekuwa mwanachadema wa...
  9. Walioahidi kuiua CHADEMA kabla ya 2020 wako wapi?

    Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ? Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya...
  10. GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

    Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT: KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu; Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Marafiki wa Jamhuri ya...
  11. GE2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo: Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo...
  12. E

    Ahsante Mbunge Cecil Mwambe kwa kueleza kiu ya watanzania baada ya kutoka kuhojiwa na Takukuru

    Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji. Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi. Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
  13. J

    Nampongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalum kupitia CHADEMA, amelinda heshima yake

    Nachukua fursa hii wakati Bunge la Ndugai linaenda kuvunjwa ndani ya saa 24 zijazo kumpongeza mama Lowassa kwa kukataa ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa na CHADEMA. Kwa aina hii ya tabia iliyooneshwa na wabunge wa viti maalumu CHADEMA hawa akina Sungura hakika wangemkwaza sana mama wa watu...
  14. GE2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema. Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia...
  15. Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

    Wabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM. Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo...
  16. Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

    Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa. Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni...
  17. GE2020 Urais CHADEMA ni kamati

    Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni 1. Lissu 2. Msigwa 3. Nyalandu. Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel...
  18. GE2020 CHADEMA na vyama Vingine pinzani mmekubali kuingia kwenye Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi? Baada ya Uchaguzi tusisikie mnalia

    Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kwa jinsi hali ilivyo ukiachilia maneno ya wanaccm ,vyama vya upinzani vina nafasi kubwa ya kupata ushindi kwenye majimbo mengi Nimejaribu kufanya observation maeneo mengi, wananchi wamekata tamaa na hali ya maisha yamekuwa ya uwoga msingi kitu ambacho kinaashiria...
  19. R

    GE2020 Watia nia ya Urais CHADEMA: Mmetangaza nia, mmejipangaje kuyakabili yaliyotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Maana for sure yatatokea hayo au zaidi

    Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo. Kama bila aibu Ndugai anafanya anayoyafanya Bungeni na hakuna wa kumkemea: executive, mahakama...
  20. G

    GE2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

    Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA. Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…