Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nimedokezwa na Mtu kuwa vyama hivi Viwili vinaweza Kuunganika kwa muda kisha wakampokea Mwanasiasa Mmoja kutoka Mitaa ile ya Mnazi Mmoja na Lumumba ( ambaye Kafukuzwa Kimkakati ) anayewadanganya Watu kuwa ni Mpinzani wa kweli wa aliye Madarakani kwa sasa ili wamchague kama Flag Bearer Wao...
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250.
Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo.
CHADEMA hongereni...
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 vyama vitakavyotaka kushirikiana ni lazima viingie mkataba wa kisheria na kuweka wazi maeneo ya ushirikiano wao.
Msajili msaidizi mh Nyahuza amesema uchaguzi wa mwaka 2015 uliacha vidonda baada ya chama kimoja kilichoungwa mkono kupitia UKAWA kuvisahau...
Natoa angalizo na nina imani Mbowe na Mnyika mnanisikia popote mlipo.
Ni kwamba kulikoni kutuletea sintofahamu katikati ya muhula ni bora hawa wagombea wenu wa Ubunge mkawalisha yamini au kiapo ili wasituache kwenye mataa katikati ya muhula na kukimbilia CCM.
Tumechoka na habari ya kumchagua...
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika leo ametoa kauli kali ambayo ndio kauli halali ya Chama chake kuhusiana na Propaganda za kishamba zinazosambazwa na Jeshi la Polisi zikiongozwa na IGP Sirro mwenyewe kuhusiana na shambulizi alilofanyiwa Mh Mbowe na Watu waliotumwa kumdhuru .
Hakuna...
Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100%
Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu.
Leo hii wameweka...
Inaonekana ukiwa mwana CHADEME kwa sasa ni zaidi ya gaidi. Hapa wana CHAEMA walikuwa wanaenda kumlaki Mbunge wao anayerejea kuja kutoa shukrani za uaminifu kwao sasa inaonekana wezuiwa.
Swali, mbona kwa CCM haya ni ya kawaida? Hivi ni moja ya vitu vinavyomfanya Rais Magufuli kuonekana kuendesha...
Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM.
Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1
CCM ni baba wa demokrasia
Maendeleo hayana vyama!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani...
Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo.
Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni.
2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba...
NYALANDU: Chadema tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana
Mtia nia wa kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lazaro Nyalandu amesema endapo chama hicho kitampa ridhaa, atahakikisha anarudisha utashi na udhubutu wa vijana...
Mwanzoni mwa mwaka huu kuna kundi la Wana CCM walikuwa wakiirushia madongo CHADEMA kwa kudai kinaendeshwa kibabe kwa matakwa ya mtu mmoja - yaani Mwenyekiti wake Mh Freeman Mbowe.
Of course, kila mmoja anajua wazi kuwa target siku zote huwa si chama na taratibu zake bali Mbowe na uimara wake wa...
Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni.
Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu.
Je, mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down
Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee. Udiwani na Ubunge.
CCM nawaona kama mko nyuma sana,
Fake election committee, na Migambo wote...
Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda...
Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana.
Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana.
Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha pesa ya kuchukua fomu huko mitandaoni,nguli wa siasa zisizo umiza Lazaro Nyarundu anaelekea Mwanza...
"Serikali inayoogopa watu, serikali inayoishi kwa uongo haiwezi kushinda kura. Na mimi niwaambie na hiyo meseji iwafikie, uchaguzi huu tunaenda hakuna wa kujitoa. Uchaguzi huu tunaenda, tunajua hakuna Tume Huru (ya Uchaguzi).
Tunajua wanatunga sheria zozote wanazotunga. Tumeamua tuache watunge...
Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.