chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation." Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ili kupambana na 'CCM Mpya', CHADEMA haina budi kukumbatia Ujamaa

    Najua hii mada inaweza kuwashtua wengi, ila nipe muda kidogo nitakuelewesha. Juzi juzi, nilileta mada iliyokuwa inaongelea ni jinsi gani taifa letu sasa linafuata mkondo wa Kifashisti. Nilijaribu kuelezea kwa uwezo wangu huku nikiambatanisha video kadhaa kutoka kwa Profesa mbobevu wa mambo ya...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Niombe busara za CHADEMA zitumike kushughulikia wanaotutafutia njaa kwa wahisani

    Najaribu kukumbuka tukio la Chadema kuwasimamisha uanachama wabunge wake waliokataa kutii maagizo ya chama ya kutoingia bungeni kutokana na Sakata la COVID 19. Nakumbuka sakata la Chadema na Dk Slaa baada ya uchaguzi wa 2015. Kwa mtizamo Chadema ni chama ambacho hakivumilii "ujinga" kwa maana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, lakini naona kwao ni tofauti

    Mimi nilifikiri ile methali kwao wangeitumia lakini bado wanakufa kisabuni maana methali inasema mtu mzima akivuliwa nguo uchutama lakini naona kwao ni tofauti kabisa maana ni watu wazima lakini suruari imeshushwa hadi chini, boxer pia ipo chini ya vidole vya miguu lakini wanaendelea...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

    Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele. ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, maalim Seif akijiunga na GNU ya SMZ wabunge wa Chadema (viti maalumu) wataenda bungeni?

    Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo. Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga. Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Akijua fika Mimi ni mwana CCM na Yeye ni mwana CHADEMA nimemtembelea 'Ofisini' Kwake kila mara ananiwekea tu hizi Nyimbo

    Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo... 1. Tutatoana Roho Yarabi 2. Ujanja wa bure tu 3. Mwaka huu unalo 4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake 5. Za Mwizi 40 6. Mwosha huoshwa 7. Malipo ni hapa hapa duniani Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ni Saccos basi CCM ni kioski

    Kwa muda mrefu katika ukumbi huu CHADEMA imekuwa ikiitwa (reffered to) kama saccos. Wanaoiita CHADEMA saccos nadhami wana maana kwamba chama kinaendeshwa kwa matakwa ya watu wachache tofauti na matakwa ya Wanachama kwa ujumla. Kwa mtazamao wangu kama ni hivyo basi CCM ni kioski. Kwa nini nasema...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

    Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni. Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae? Tanzania kama taifa tuwe...
  10. kijana wa leo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na unafiki uliotukuka

    Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote. Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CHADEMA, Mnyika umetegwa ukitegeka nafasi yako wanachukua wenye chama chao

    Mh. Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA, kwa sasa wajumbe wa Kamati kuu wanakuangalia kwa pande mbili, pande ya kwanza kukikosesha chama kupata ruzuku kwa kutopeleka majina ya wabunge viti maalum, upande wa pili kuwasababishia wanachama kukosa ajira ya uteuzi wa kuwakilisha hoja za chama chenu bungeni...
  12. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, nini sasa kwenda mbele?

    Mwamba ana mzigo mzito kipindi hiki. Anatakiwa afanye maamuzi magumu ambayo yatakuwa kufa au kupona kwa Chadema. Wakubali, wakatae, huu uchaguzi umekwisha na hakuna vikwazo wala matamko ya wazungu yanayoweza kubadili matokeo. Na hakuna mzungu yeyote anayeweza kutuporomeshea mabomu kila Chadema...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri: CHADEMA kushikana mashati na kujuta baada ya Lissu kupewa ubalozi na kukubali

    Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Rais Magufuli aliahidi kumpa Tundu Lissu cheo serikalini kama akishinda. Binafsi naamini Rais Magufuli atatekeleza ahadi hiyo kwa Mhe. Lissu. Naamini Lissu hatoweza kukataa nafasi hiyo impite kwa kuwa anajua watanzania walimchagua Rais Magufuli kihalali...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lissu ni asset au liability kwa CHADEMA?

    atika Hali ya kawaida CHADEMA kabla ya kampeni ilikuwa na wabunge zaidi ya 50, wakati hata kabla Lissu hajaenda Ubelgiji. Kabla ya ujio wa Lissu, CHADEMA ilikuwa kidooogo inaeleweka eleweka ingawa bado kulikuwa na majinga yanayopenda kupiga mayowe ya kutafuta Kiki, hata hivyo wananchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msimamamo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Tundu Lissu) juu ya viti maalum

    Muda mchache kabla ya kuondoka nchini, Aliyekuwa mgombea uraisi wa kupitia Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari na kuseama kuwa uchaguzi uliopita ni uchaguzi ambao uliovurugwa na kuharibiwa sana, amesema kuwa katika vikao halali...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hebu nijulisheni uwiano gani umetumika kwa Chadema iliyoambulia mbunge mmoja iweze kupata viti maalum 19 na CCM iliyojizolea viti 262 kupata viti 94?

    Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti 262, karibia ya viti vyote vya ubunge nchini, iweze kupata viti maalum 94? Kuuliza siyo ujinga...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Navishukuru vyama rafiki CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo kwa kunipigia kura ya " Ndiyo" niwe Waziri mkuu!

    Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza CHADEMA ni kutosikiliza maoni ya wazee kama Lyatonga Mrema

    Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao. Mzee Lyatonga Mrema aliwaonya wapinzani msio na busara hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa JPM anatimiza yale ambayo...
  20. J_Okay

    JamiiForums Tanzania CCM nao wameshindwa uchaguzi 2020, mshindi Dkt. Magufuli tu

    CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo kilikuwa ni kikubwa mno. Kishindi cha bomu lililoteketeza sio tu vyama vya upinzani, bali hata mmea...
Back
Top Bottom