chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na CHADEMA washiriki kikao cha Bunge leo

    Wale wabunge 19 wa Viti Maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi hii wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini Dodoma. Itakumbukwa Wabunge hao tayari walishavuliwa uanachama na chama chao mwishoni mwa mwaka jana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ubelgiji waandamana kupinga kufungiwa ndani, CHADEMA mnaweza kujifunza kitu huko!

    Nafahamu kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kwa sasa anaishi Ubelgiji. Kupitia taarifa ya habari ya Al jazeera wameonekana wananchi wa Ubelgiji wazungu na wale wenye asili ya Afrika na Asia wakiandamana kupinga kufungiwa ndani. Wanadai kwamba Lockdown ni mateso kupita Corona...
  4. JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel, askari wa mwavuli aliyechukizo machoni pa wafuasi na wanachama wa CHADEMA

    Kama kuna mawaziri wadogo ambao kila mbongo anawakubali kwa kuchapa kazi basi ni Godwin Mollel. Ama kwa uhakika huyu jamaa ni mchapa kazi kwelikweli na anapofanya ziara huwa anaibua madudu na huwa hatumii papara kukemea waliokosea. Moja ya ziara zake ambayo mimi nimeifuatilia kwa ukaribu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    Chadema tuongeeni kidogo Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo! Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa wengine. Chadema tumefeli! Kwenye uchaguzi huu 2020 tumefeli. Kwamba tuliibiwa, kwamba tulikosa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli. Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa kuweka ndoo ya maji tiririka ya kunawa pale ofisini Makao makuu Ufipa st

    Hii nimeipenda na ni jambo jema kwa kweli. Ni ofisi chache sana utakuta kuna maji tiririka ya kunawa mikono kadhalika niwapongeze wahudumu wa Viva supermarket pale Makumbusho kwa kuvaa barakoa. Maendeleo hayana vyama!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

    Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari. Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing. Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

    Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka. Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha akina ‘Mdee’ kukubali teuzi za Bunge kwa jina la CHADEMA kitaathiri rufaa yao

    Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao. Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa CHADEMA kuongoza Kamati za kudumu za Bunge ikiwemo PAC na LAAC

    Spika wa Bunge, Job Ndugai Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku pia wenyeviti wa kamati hizo wakitajwa, wakiwemo baadhi ya wabunge waliofukuzwa uanachama wa Chadema. Miongoni mwa wabunge waliotajwa ni Naghenjwa Kaboyoka aliyetetea uenyekiti wa Kamati ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mbali naiona CHADEMA ikizaliwa upya tena ikiwa na " Wagumu" watupu!

    Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile. Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado...
  14. JamiiForums Tanzania Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

    Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC ) Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure. Bali swali kubwa ni hili , ni yupi...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

    Wakiongozwa na Mwenyekiti wa kanda hiyo Mh Msigwa, viongozi wazito wa Kanda hiyo wamefika ndani ya Gereza hilo la Ruanda na kumsalimia ofisa wa kanda hiyo aliyewekwa kwenye gereza hilo kwa zaidi ya siku 250 baada ya kushitakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana . Hata hivyo katika hali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA ni vigeugeu?

    Naomba kujua je washaabiki na wanachama wa CHADEMA ni vigeugeu au mandumilakuwili? Kwanini nauliza hivi...ACT Wazalendo walipokubali kujiunga SUKI, walitoa utetezi kuwa sio hisani bali ni ipo kisheria na kikatiba. CHADEMA waliwashambulia sana, Juzi kuna taarifa zimetoka CHADEMA inapokea ruzuku...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

    Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu. Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri...
  18. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea. Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa. === Miezi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  20. JamiiForums Tanzania Sabodo: Sitawapa tena CHADEMA pesa yangu, nitampa Rais Magufuli

    MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili ya kuwekeza mkoani Dodoma, ikiwa ni njia ya kumuunga mkono Rais John Magufuli kuhamisha makao makuu ya serikali kwenda mkoani humo. Sabodo ambaye alisema wazi kuwa utendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…