chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Naungana na CHADEMA kwenye suala la kuitafuta Katiba Mpya, wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata viongozi mbalimbali. Dunia ya sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Tuwapuuze CHADEMA na suala la Katiba mpya, wana ajenda ya siri

    Nawasalimu katika jina la Chama cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee. Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na Chama Cha Mbowe (CHADEMA). Siku za hivi karibuni kumekuwa na kuhamasishana huko upande wa upinzani...
  3. JamiiForums Tanzania Usajili CHADEMA Digital wapatikana nchi nzima, vibanda vya kusajili vyasambazwa

    Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo. Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

    Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo. Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu. Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

    Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM. Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM. Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla...
  6. JamiiForums Tanzania Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

    CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika. 1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL. 2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia...
  7. JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani nchini ni ACT- Wazalendo siyo CHADEMA

    Habari. Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe. Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

    Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
  9. JamiiForums Tanzania Chadema inakosa watu makini wa kujua adui wa demokrasia nchini ni nani?

    Kuna Uzi nilisema humu NI vigumu kufikia malengo ya Democrasia na utawala wa Sheria ata 80% kwa utawala wa Mama yetu pendwa japokuwa NI kiongozi mzuri na sio muumini wa utawala wa kimabavu. Swala la Democrasia duniani zipo za Aina mbili. Democrasia ya magharibi. AMBAYO inatoa mwanya wa vyama...
  10. JamiiForums Tanzania Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA

    BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA. Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa Mbowe. Kuna wanaoona ni sahihi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kwa maisha ya CHADEMA yaliyobakia na...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge19 Viti Maalum wanaojitambulisha kwa jina la CHADEMA washitakiwe

    Uongozi wa CHADEMA. Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA. Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue mashitaka kwaniaba ya taasisi ya CHADEMA, sio tatizo wakishirikishwa Wananchi kuchangia kwa ajili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

    Nawasalimu kwa jina la Lowassa Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM. Whats so special about him?
  14. JamiiForums Tanzania Magufuli hayupo kipi kinawafanya CHADEMA kuliachia hewani suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum?

    Friends and Enemies, Greetings! Hatuwezi endelea kuishi katika kivuli cha lawama kwa mwendazake hasa katika mambo ambayo yeye aliyafanya huku akiamini kwamba huenda alikuwa anaijenga Tanzania ya ndoto yake. Binadam tumeumbwa kusahau, ila kama nchi tutakuwa tunafanya makosa sana kusahau japo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, haya ni mapendekezo ya wapi mujenge Makao Makuu ya Chama

    Ndugu wanachadema, Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ) Hapa ni mapendekezo ya mikoa: 1. MOROGORO 2. SINGIDA 3. KIBAHA. 4. DODOMA. Kipaumbele ni No 1 Litafutwe eneo kubwa nje ya mji. Maoni yangu, Maoni yako je
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaiba kodi za masikini

    Hakika nichukue nafasi hii kukupongeza kwa hatua mbalimbali ulizochukua na unazochukua kurekebisha mambo ya nchi yetu. Kubwa nililotaka kukushauri ni hili la wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa bungeni na kulipwa mishahara ambayo ni kodi za masikini wa nchi hii. Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Chadema yaanzisha Program ya Mafunzo kwa Wanachama wake

    Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya kuwaongezea maarifa na uwezo viongozi na wanachama wa Chadema nchi nzima , hasa ikizingatiwa kwamba kwa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi hizi, Chadema muungeni mkono Rais Samia

    KWA UTEUZI HUU UNAOENDELEA KUFANYWA NA RAIS WA JMT MAMA SAMIA, TANZANIA ITAKAA SAWA. Kwanza nimpongeze Mh Rais kwa uteuzi alioufanya ilikuendelea kusuka kikosi kazi chake chenye lengo la kuleta tijazaidi katika maendeleo yetu. Niwapongeze wote walioteuliwa na wanaoendelea kuteuliwa kwasababu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

    Wanabodi, Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais. Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…