chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  2. L

    JamiiForums Tanzania Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

    Ndugu zangu katika Ajali ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  4. JamiiForums Tanzania Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

    Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa. Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi? Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.? Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

  6. JamiiForums Tanzania Forensic audit ifanyike kujua michango ya Chadema ya kidijital imetumika vipi. Haiwezekani tuchange kidijital alafu wawe na magumu.

    Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri. Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
  7. JamiiForums Tanzania Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini. Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kibatala amhoji Nusrat Shabani Hanje kesi ya Wabunge 19 wa CHADEMA

    Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha. Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii! Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!! Karani wa mahakama: Kesi namba 36/2022 Halima James Mdee na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala na Mbunge Hawa Mwaifunga wazua mvutano mzito Mahakamani

    Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho. Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwa 'chawa' pale CHADEMA au CCM unavunja amri ya pili ya Mungu - "Usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu"

    Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu wengine ila mimi" Na unapoanza kumuimbia mapambio ya kumsifu na kumuabudu unatenda dhambi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Watu milioni 61 Siyo Muafaka kwa Sera ya Majimbo ile ya CHADEMA?

    Najua wengi wanadai Sera ya Majimbo italeta ukabila Lakin Watu milioni 61 ni wengi sana Je, huu siyo wakati muafaka CCM ikachukua Sera hii ya CHADEMA na kuifanyia kazi? J3 Ubarikiwe sana!
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA sio kwamba mnalazimishwa kuwa kama ACT Wazalendo bali mnakumbushwa kuwa waaminifu kwa pesa za umma

    Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma? Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma? Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma. Miaka 30...
  14. JamiiForums Tanzania Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mkishikwa pabaya muwe mnachutama tu

  16. JamiiForums Tanzania Ofisi ya ACT Wazalendo, CHADEMA isijifiche kwenye kivuli cha fimbo

    Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa. ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA kubalini kuwa ACT wazalendo wameonyesha ukomavu wa kuwa chama dola. Mmlishaharibu kwa wananchi

    Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya. ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

    Sikiliza
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu mapigo ya Vyama 14 kuhusu kikosi kazi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi. Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

    Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la msingi kwenu Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ? Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…