chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesahau suala la wabunge wao feki viti maalum

    Nchi hii hakika ina vioja. Wabunge wametemwa na chama chao kwa kugushi na kujiteua viti maalum. Ajabu mwaka wa tatu umeanza na kesi yao ndio kwanza mbichi serikali ndio mtetezi kwa bunge wanaolimiliki kuwakingia kifua. Ni kitu cha ajabu sana. Watu wanakula mishahara na posho huku hawana chama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chief Karumuna mgombea ubunge (CHADEMA) Bukoba mjini afunguka alivyotekwa 2020

    25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na wenye bunduki 4 kwenye uchaguzi wa 2020. Hayo yalijiri wakati CHADEMA walivyofungua mkutano wa...
  3. system hacker

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kelele za CHADEMA huko Twitter na mitandao ya kijamii mingine unaweza kudhani wanakubalika. Uraiani hamna lolote

    Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu. Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia. Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii. Kura zikijakupigwa kiuhalisia wanabaki kusema wameibiwa.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki mjisifie kujaza watu mikutanoni, bali kuwatoa Kimkakati CCM Madarakani

    Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani. Nilishawahi kuwashaurini huko nyuma kuwa jiimarisheni sana katika kujijenga ngazi za chini ila nasikitika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Nyomi si Habari Tena, Tujidhatiti kumaliza Mchecho

    Nguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena: Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM. Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM. Hatutapewa katiba mpya mezani. 2 Wafalme 7:6 inasema: "Kishindo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ukitazama Mkuta wa PM majaliwa Wiki iliyopita na Wa jana wa Mbowe Tunduma utadhani Chadema ni Chama tawala

    Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala. Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

    Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki Huu ni uzandiki wa kisiasa. Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watu mil 2 wahudhuria mkutano wa Chadema Tunduma. Chadema ipo juuu

  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tunduma katika Picha Kazi ipo

    Leo ilikuwa siku nyingine. Nani aliwandanganya hawa ndugu? Hii ndiyo CHADEMA Tunduma leo. Chama baba lao. Tunataka katiba mpya sasa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Mwisho nimeamua kuwa support CHADEMA, Watanzania wenzangu 2025 ni Mwaka wa kujisahihisha "say NO to CCM"

    Habari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country . CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara wa CHADEMA Sumbawanga ulikuwa wa kumpamba Mbowe kugombea Uenyekiti

    Hello 👍👍 Jana CHADEMA walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao. Mbowe naye kama kawaida yake aliishia kumponda na kumtukana Mwendazake Kwa kile alichoita kwamba anatokea...
  13. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Kumpokea Lema mkoani Arusha imekuwa ni Biashara kwa CHADEMA? Hii Michango ya nini?

    Tumesikia na kuona maandalizi ya Kumpokea Lema ambae kwa utashi wake aliamua kwenda kuishi huko Canada. Lema ameamua kurudi kwa sababu anazojua yeye huenda huko alipo wememchoka n.k. lema ameamua kurudi kwa style ya aina yake ya kupatiwa mapokezi. Sina tabu na yote hayo, tabu yangu ni kwa nn...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, pamoja na mikutano yenu, Tanzania itafaidika nini?

    Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele. Kila mnenaji anaweza ongea hadi sauti ikamkauka. Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi. Hili swali nawauliza kila siku...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania "Tunataka maendeleo ya watu badala ya vitu," kauli ya CHADEMA ambayo imeshafanyiwa kazi na Rias Samia

    Mwaka 2020 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kulikuwa na kauli maarufu sana ya CHADEMA kwamba wanataka maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu. Hoja yao ilimaanisha kwamba serikali ya awamu ya tano ilijikita kwenye miradi ambayo ilikuwa haimgusi mwananchi moja kwa moja. Miradi kama ujenzi...
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Prof. Wajackoyah aomba Rais Samia amruhusu awekeze kwenye bangi

    Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi. Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakaombe msaada wa kisheria kwa Makamu wa Rais Masoud kuhusu suala la akina Halima Mdee, ana uzoefu mkubwa

    Hakuna ubishi tena kuwa Kikosi Kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe ndio kimepelekea Mbowe kutolewa Jela na Mikutano ya hadhara kuruhusiwa Wote tulimsikia Zitto Kabwe akimuombea msamaha Mbowe kwa Rais Samia Kwenye kikao cha Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla mbele ya Viongozi wakuu wote wa...
Back
Top Bottom