chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    Kumuenzi Maalim, CHADEMA inakwenda kuwa na nguvu Zanzibar kuliko ACT, Zitto amepotea

    Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo. Madhara yake Wazanzibar awabadiliki kimsimamo hivyo chama hakiwezi kuwa zaidi Yao. Kukosa Imani na...
  2. Mtondoli

    Mambo kumi yanayoimaliza CHADEMA

    CHADEMA ninayoijua Mimi sio hii iliyopo Sasa,naweza kusema bila ya Shaka yoyote kuwa chadema ya Sasa ni waoga Sana,Chadema ingekuwa inajipanga kimkakati Leo ccm ingekuwa haipo madarakani,,nakupa Mambo kumi yanayoiua chadema Kila mwaka,. (1) Hawaandai vijana watakaokuwa nguzo ya chama baadae...
  3. MkanyageniKijiji

    Mawakili wa Chadema wajitoe tu kwenye kesi ya Mbowe!

    Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia sana hii kesi ya mbowe mwanzo mwisho nimegundua vitu vingi sana ikiwemo ukiukwaji wa mambo mengi sana...
  4. K

    Polepole kuandaliwa kuwa mgombea urais CHADEMA?

    Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
  5. B

    Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  6. M

    CHADEMA inademka na kila mdundo unaopigwa

    Ili kuweza kukitoa chama tawala madarakani, ni wazi kuwa panahitaji chama ambacho kitakuwa mbadala wake, chenye nguvu kama au walau kukaribia nguvu chama tawala. Hali inapokuwa kinyume na hapo, ni wazi kwamba itakuwa vigumu sana kukitoa chama tawala madarakani kwa sababu hilo linawakatisha...
  7. leonaldo

    CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

    Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu. Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
  8. Idugunde

    Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  9. Nigrastratatract nerve

    Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  10. S

    Hongera CHADEMA kwa kuwaamsha Watanganyika

    Maana hizi sherehe kubeba jina la Uhuru wa Tanzania huwa ni batili waandalizi inafaa wafunguliwe mashtaka kwa kutumia Jina la Tanzania kuchota hela na kusheherekea Uhuru wa nchi ambayo ilishafutwa na haipo inakuwaje? Sasa sio katiba mpya bali na Tanganyika lazima iwepo ili hizi sherehe za kila...
  11. M

    CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

    Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa. Mi...
  12. J

    Masanja amshukia mchungaji Msigwa wa CHADEMA kama tai, asema hata Cedrick aliwahi kujoke vita ya Iraq mbele ya Rais Bush

    Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste. Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano. Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata...
  13. Mmawia

    Hakika CHADEMA tumepitia mateso makuu mpaka sasa

    Baadhi ya viongozi wenye maamuzi wanadhani hii nchi ni mali ya CCM. Hii nchi ni mali ya Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo maana wakati wa kulipa kodi tunalipa wote bila kujali itikadi. Mojawapo ya matukio yaliyosikitisha ni jinsi Mh Lema alivyofanyiwa ukatili akiwa kwenye...
  14. Idugunde

    CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  15. Ze Bulldozer

    CHADEMA wampongeza Rais Samia kwa kuimarisha Uhuru wa kutoa maoni

    === Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika, Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa...
  16. Erythrocyte

    Diaspora waanza kupanda ndege ili kuwahi Kongamano la miaka 60 ya Uhuru lililoandaliwa na CHADEMA

    Mmojawapo ni huyu anayeitwa Rehema Mugogo , ambaye tayari ana tiketi mkononi ili kuwahi Kongano hilo lililo gumzo kote duniani , litakalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni nje ya Jiji la Dar es Salaam .
  17. MEXICANA

    Bidhaa za msingi zinapanda bei, CHADEMA mko kimya kabisa kama vile hamuoni

    Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana. Lawama zingine nazielekeza...
  18. I

    John Heche: CHADEMA ina wanachama milioni nane

    Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo...
  19. T

    Hii tabia ya wapinzani hasa CHADEMA kusifia wastaafu wa CCM inatukanisha upinzani

    Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama. Utamaduni huu unawachanganya wananchi hasa wale wenye uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu, kwani mara nyingi unakuta huyu mstaafu wanae...
  20. VUTA-NKUVUTE

    Sasa ni dhahiri kuwa CHADEMA si Mbowe, Dr. Slaa, Lissu wala Lema. CHADEMA ni imani na haitakufa kirahisi!

    Kwa wasionifahamu (angalau kwa ufahamu wa humu JamiiForums), mimi ni kada kindakindaki wa CCM. Nimejiunga na chama hiki miaka ya mwanzoni mwa 80 baada tu ya kuhitimu shahada yangu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilisomea sheria. Nikafanya kazi chamani, serikalini na hata kwenye vyombo vya ulinzi...
Back
Top Bottom