chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Sauti ya Watanzania, msikaribishe tena watu waoga waoga kwenye mikutano yenu

    Jana Jumapili ya tarehe 23/07/2023, CHADEMA na SAUTI YA WATANZANIA, walikuwa na mkutano mkubwa sana juu ya kupinga uuzwaji/ubinafsishaji wa Bandari za Tanzania. Mimi kama mmoja ya wahudhuriaji wa mkutano huo, nilifurahia sana jinsi mkutano ulivyoratibiwa kwa umakini wa hali ya juu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

    Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu. Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko...
  3. JamiiForums Tanzania Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

    La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
  5. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

    Friends and Enemies. Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe. Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa...
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

    Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
  7. JamiiForums Tanzania Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais. Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  8. JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI? Na Thadei Ole Mushi. Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya. 1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini. 2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu. 4. Wengine...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA haifai kuwa ni Chama Cha Siasa

    Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu. Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa...
  10. JamiiForums Tanzania Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA

    Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema. Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini? 1) Nchi imeuzwa. Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kweli sasa naamini CHADEMA wana maslahi fulani wanayoyapata wakivichokoza vyombo vya dola vikachokozeka

    Ndugu wanajamvi! Nakusalimuni nyote! Tangu mama Samia ashike madaraka baadavya kifo cha bwana yule mama wa watu amechukua mrengo wa kiungwana huku akionesha dhamira ya kweli kutoka moyoni mwake kuliunganisha taifa lililokuwa limesambaratishwa na hayati bwana yulee. Mambo yamekuwa yakienda...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushahidi CHADEMA inatumiwa na TICTS kukwamisha uboreshaji wa bandari

    TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000. Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

    Naomba kujua historia ya huyu bwana mdogo kwa anayeijua. Anajiamini na ana misimamo mikali kama muasisi wa CHADEMA hayati Tuntemeke Sanga. Hata Sugu kabla hajachakachuliwa alikuwa na misimamo mikali sana hasa alipoporwa mradi wa vyandarua😀😀.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA miaka yote wameweza kuwa na safu nzuri ya wataalamu kwenye hoja kuliko Serikali? Wanapataje wataalam wao?

    Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa. Lakini jambo la pili...
  17. JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA wataka wote walioingiza nchi katika mkataba huu mbovu kuchukuliwa hatua

    akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…