chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

    Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino. Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaohudhuria mikutano ya +255 ya CHADEMA nusu ni CCM, wanawachora tu

    Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha, magorofa kibao, mbunge wa muda tu, lakini yupo simple, anaishi na watu wake.
  4. JamiiForums Tanzania Picha: James Lembeli, kada wa CCM anayeungana na CHADEMA kupinga ufisadi wa CCM

  5. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama mjini ndugu Kishimba ahudhuria mkutano wa Tundu Lissu (CHADEMA) uliofanyika kata ya Isaka

    Huyu umwonaye hapo☝️☝️☝️katikati ya umati (mwenye kapelo) ni mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini [CCM] maarufu kama Prof. Jumanne Kishimba.. Leo (kama anavyoonekana pichani alikuwa miongoni mwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa mwisho siku ya leo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

    Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

    Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania. Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili. Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili. Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ...
  8. JamiiForums Tanzania Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote

    KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA. WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI NAKALA KWA TAASISI YA...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Operesheni Okoa Bandari ya CHADEMA kutua jimbo la Luhaga Mpina

    Operesheni ya Okoa Bandari zetu sasa ni zamu ya wakazi wa Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara ambapo itawafikia wananchi wa Jimbo la Kisesa linaloongozwa bungeni na Luhaga Mpina. Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari
  10. JamiiForums Tanzania Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

    Kwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama mwanaCCM mwenzangu ila siungi mkono hoja yake kwa 100%. Sir John labda haijui kiundani TEC...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge watasema hata viongozi wao wa kiroho wameongwa? Watasema ni CHADEMA? Watasusa kuabudu kwa waliwaoongwa?Zakuambiwa!

    Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari. Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi. Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Busara za wazee: Mfumo wa vyama vingi uendelee lakini CCM iendelee kutawala mpaka pale...

    Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao. Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
  13. JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

    Msajili wa Vyama vya Siasa, amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta. Amedai kama Katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka. Tamko hill limetolewa kwa ushirikiano wa IGP Mangu kwa niaba ya Jeshi la polisi na ofisi ya msajili...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

    Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
  15. JamiiForums Tanzania Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

    Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu. Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naipenda Solidarity ya CHADEMA kupigania haki; Wanampigania Dr. Slaa bila kujali itikadi yake

    Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania. Wamekuwa wakipigania haki bila kujali itikadi; wamewapigania akina Nape na Kinana wakati wa Magu. Hizi solidarity uwezi kuzipata CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

    Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'. Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
  19. JamiiForums Tanzania Nondo za Mbowe Ukerewe

    Na Chadema Media FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameichambua hali mbaya ya umaskini unaowasibu takribani watu laki 4 wa visiwa 38 vya wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, huku akiwataka wananchi wa visiwa hivyo kuachana kabisa na utawala wa Chama...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya uwekezaji wa bandari ni "kick" ya CHADEMA iliyobuma

    Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na suala hili linawatesa Zaidi waliolikuza kama "agenda" ya kisiasa. Kuna baadhi ya wanachama wa CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…