chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukiwasha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23. Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika. Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Wanaharakati waalikeni waungwana mpatanishwe

    Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje), ikiwapendeza, waungwana kabisa. Kutoka kwa mwananchi, mdau. Kwenu waheshimiwa, niwasalimu kwa jina la solidarity: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu." Tulikuwa tuko vizuri. Tulikuwa wamoja. Tulikuwa tukitembea vifua...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kuwaonea wivu Mwambukusi na Sauti ya Watanzania. Ninyi kama mmepoteza kuaminiwa mtulie.

    Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi. Huu ni wivu wa kishamba. Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania. Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

    Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo . Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni kufungua ofisi mlizozifunga Mtaani

    Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani . Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya Jumapili njema
  7. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu. Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Chadema tuwahi TCRA kuzuia leseni ya Nape

    Tuna siku 14 pekoe, japo kuwa hatuna sababu ya muhimu twendeni kuizuia hivyohivyo.
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

    Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau. Niliwahi kuandika uzi huu pia: Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi: Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania "Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

    Utangulizi Political propaganda ni taaluma kama taaluma zingine. Inapofanyika kwa umakini huleta matokeo. Lakini inapofanyika unprofessionally kama UWT wanavyofanya hapa kwa kuwatumia hawa wanaoitwa Sauti ya Watanzania kama nitakavyoonesha hapa, inamharibia kabisa badala kumjenga anayefanyiwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi ailima barua CHADEMA, ataka ijieleze ndani ya siku 5

    Msajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni ambako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni . Sasa Mtukufu Mutungi moja kwa moja kaisingizia Chadema. --- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ngara: Marry Chatanda aingizwa mkenge, adanganywa kuhusu CHADEMA

    Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm. Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sherehe kubwa Lumumba, CHADEMA wakiparurana

    Misahafu inasema mwana mpotevu aliporudi kwa babaye, mwana mwema aliyekuwa kabakia Kwa babaye alichukia mno. Kwamba kwanini baba yao amfanyie sherehe mwovu huyo hali yeye alikuwa pale siku zote asifanyiwe dhifa yoyote? "Kwa hasira kali alisusa sherehe ya nduguye, akaondoka nyumbani na kutokomea...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

    Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo kuanza... Kila mtu (nikiwemo mimi) alipigwa na butwaa na mioyo ya matumaini ya ushindi dhidi ya CCM...
  15. B

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

    Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa. Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania ACT na CCM kupambana na CHADEMA kidola si ishara ya wawili hawa kukosa sera?

    CHADEMA wametoka kanda ya ziwa kukinukisha hadi CCM wakalazimika kuteua naibu waziri Mkuu. CHADEMA wamekwenda Zanzibar kwenye baraza la wazee mara paap ACT wamecharuka kwa hasira utadhani wao wamepewa kibali cha kumiliki Zanzibar CHADEMA wametangaza OPERESHENI kusini mara paap mawaziri...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inazuia Watanzania kuanzisha vyama vingine vya Siasa?

    Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania. Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

    Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe . 2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)...
Back
Top Bottom