chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Komeo Lachuma

    Kuna mapito ambayo yaliipoteza nguvu Chadema na kuifarakanisha na Umma usio wa Kihayawani

    Huwezi amini.lakini ndo ukweli kuwa kuna wakati Chadema walikuwa wanamwona Nape Nnauye ni Shujaa wao. Ni jasiri wao. Huwa naumia sana ninapokumbuka kipindi hicho. Nilikuwa nawaza yaani Chadema kweli walikengeuka kiasi kikubwa namna hiyo? Nikawa nawakumbusha kuwa Nape hajawahi kuwa shujaa. Nape...
  2. J

    CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani? Mungu ni mwema wakati wote!
  3. MSAGA SUMU

    Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika. Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha...
  4. M

    Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

    Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana Huyu ndio...
  5. L

    Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  6. J

    CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua Mungu ni mwema wakati wote
  7. J

    SHAKA: Atetema na Kunyunyiza Tabora wafuasi wa CHADEMA washindwa kujizuia waunga msafara

    Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo. Hivi CHADEMA Mwenezi wa...
  8. R

    Ushauri kwa CHADEMA: Mwenyekiti Mbowe na wenzako, mumshirikishe Ansbert Ngurumo kama one of your think tank

    Mumshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za katiba mpya na Tanzania mpya mnayoitafuta! Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia, katiba mpya! https://www.jamiiforums.com/threads/sikiliza-busara-za-ansbert-ngurumo-kutoka-juu-ya-funzo-kutoka-uchaguzi-wa-kenya.2011259/...
  9. Allen Kilewella

    CHADEMA inapigania ustawi wa Tanzania, kwanini unaipinga?

    Wakati mwingine ukiangalia chuki walizo nazo baadhi ya watu dhidi ya CHADEMA, jambo unaloligundua kwa urahisi ni kwamba watu hao fikra zao na mwenendo wa maisha yao umeshazoea kugandamizwa. Ni kazi sana kwa mtu aliyezoea kuwa mtumwa na kuona "manufaa" ya kuwa mtumwa kukubaliana na mtu...
  10. T

    Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  11. M

    Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  12. Erythrocyte

    Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

    Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu...
  13. Mganguzi

    Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

    Najua CHADEMA Huwa hawapendi kuambiwa chochote. Muda wote wanaona wako sahihi .usiwakosoe usiwaambie hapa mnapotea au pale pametoboka. Wana haiba ya ujuaji ingawa sio wote. Kivyovyote vile lazima tuwaambie ukweli ,CHADEMA ya Sasa imepoa hata viongozi wake wamepoa sana ,hatuoni zile harakati...
  14. J

    Hata kama alipiga dili linganisha Chadema HQ (ruzuku) vs Miundombinu ya Nchi (bajeti)

    Chukua tu Ruzuku ya Chadema kwa miaka 5 ya Rais Magufuli na michango ya Wabunge kwa Awamu hiyo kisha tembelea Jengo la Makao makuu ya Chadema Ufipa St Kisha chukua Bajeti zote za Awamu ya 5 zilizopitishwa na bunge kisha tembelea Miundombinu yote na miradi iliyotekelezwa kwa Kipindi hicho Ni...
  15. Poker

    Nimeota ndoto ya 3 kuwa CHADEMA itakuwa chama tawala 2025!

    Hi ni mara ya 3 naoteshwa ndoto kuwa CHADEMA kitakuwa chama tawala katika uchaguzi wa 2025. Nimejaribu kuzipuuza hizi ndoto ila sasa zimekuwa too much,naona umefika wakati wa nchi kuingia katika mikono salama ili safari yetu ya mafanikio ianze rasmi. Je swali sasa ni nani atakaye tuvusha kutoka...
  16. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Nasikitika kutangaza kuwa CHADEMA na ACT hawana uwezo wa kuongoza nchi.

    Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais. Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni...
  17. JanguKamaJangu

    Wafuasi wa CHADEMA waliokabiliwa na kesi ya mauaji waachiwa huru Katavi

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia Walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuwaua wafanyabiashara waliokuwa wakinunua mazao katika Kijiji Chao...
  18. S

    SoC02 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Tume huru ni muhimu kuliko Katiba mpya?. (Katika mtazamo wangu)

    Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
  19. Allen Kilewella

    Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

    Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano; Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la...
  20. J

    Sijawahi kuwasikia CHADEMA wakiambatana na Waganga wa Kienyeji

    Hawa ndugu zetu wa Ufipa st Chadema wao huwa hawajihusishi na "ndumba"? Sijawahi kuwasikia wakiambatana na Waganga wa mitishamba Hata wakati ule ilikuwa wao na askofu Gwajima au askofu Malone na hata sass wanaye askofu Mwamakula na Shehe Ponda. Isijekuwa hawa jamaa ni Mpango wa Mungu kweli...
Back
Top Bottom