Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha.
Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo.
Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM.
Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba.
CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.
Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly...
Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania.
Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
Kwa hili nawapongeza viongozi wa Chadema wametumia akili kubwa
Maana yake kama Mnyika atakuwa kwenye maandamano hatachululiwa kama chadema Bali kama raia na mwananchi wa kawaida
Kwa hiyo wananchi ndio watakaoamua mustakabali wa mambo Yao
Hata Tundu lisu kuwa Gerezani ni salama zaidi kuliko...
TAARIFA KWA UMMA.‼️
19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja.
Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S...
CHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana.
Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa...
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio...
Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa.
Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
amani
amani ya nchi
bila
chadema
chama
from
health
hii
kimbilio
kuanza
kuhujumu
mabeberu
maisha
mental
mental health
mmoja
mtu
mtu mmoja
nchi
sovereignty
taifa
taifa letu
waasisi
wamefanya
wao
where
Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali...
Mange Kimambi yuko sahihi na ana haki kuwa na wasiwasi huu kwa kuwa anaijua na kuielewa vyema nguvu ya...
Kizimba kilichokuwa kimejengwa katika Kata ya Ramadhani, Jimbo la Njombe, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama wakati wa ujio wa Makamu Mwenyekiti, Mhe. John Heche, mkoani Njombe, kimebomolewa usiku wa kuamkia leo.
Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua.
Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI
===
Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika maendeleo ya taifa, iwe kupitia sera, ushawishi wa kisera, ushiriki katika taasisi za kidemokrasia au...
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Sijajua bado, kwanini mtu licha ya kusoma sana lakini bado anakuwa na akili za kufikirika ambazo zimekosa mental autonomous,
Mtu anajua kabisa chadema hawana hoja za kwann wapigiwe kura lakini bado anaamini kuwa CHADEMA itakuja shinda uchaguzi hii si akili ya kawaida huu ni ujinga wa kushindwa...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza kuikubali Serikali iliyoko madarakani inayoongozwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kabla ya kumuomba Waziri Mkuu kuingilia kati suala la Ruzuku kwa Chama hicho. Ametoa wito huo...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Sekretarieti ya Chama iliyoketi tarehe 10 Juni 2026 kwa mamlaka iliyoikasimisha na Kamati Kuu, imemteua Ndugu Shija Shibeshi kukaimu nafasi ya Katibu wa Kanda ya Kusini yenye mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.