Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ushujaa wa hali ya juu👇
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.
Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa...
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea .tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi.."-Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
Azaki amesema Viongozi wakuu wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakikosolewa mara kwa mara kwa kuendesha harakati zao kwa misingi ya tamaa ya madaraka na ubinafsi badala ya masilahi mapana ya taifa.
Wakosoaji wengi wanabainisha kuwa maamuzi mengi ya kimkakati ndani ya chama hicho, ikiwa ni pamoja...
SIJUI ni ujinga au upumbavu uliokithiri lakini inachekesha sana kusikia kila siku CHADEMA wanaongelea mambo ya maridhiano kama vile yanawahusu wao tu na bila wao hakuna maridhiano.
SIJUI nani anawadanganya kuwa maridhiano lazima wao wawepo na wao ni muhimu kuliko watu wengine linapokuja suala...
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.
Imagine...
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
Kwasababu sote ni mashahidi tunaona namna chadema inavyopata tabu na kuhangaika kukusanya milioni mia 3 tu. Ni kama vile inawalazimisha watu wale wale wachangie kwa kurudia.
Lakini pia sote ni mashahidi kwamba, ingekua ni suala la kutukana, kuporomosha matusi, kuleta fujo, kupora, kufanya...
Hali ni mbaya sana, ukiwa kiongozi wa CHADEMA we tayari ni mfungwa/maiti mtalajiwa.
Vibaka wa jeshi la polisi wamekuwa wakivamia usiku wa manane, vunja milango na kuwateka viongozi wa Chadema.
Ila huu uhuni unaendelea coz watanzania wenyewe mmeubaliki.
Mtu anaekuja usiku na kuvunja mlango...
Eti chadema wanachangisha Hela za kula chakula siku ya kikao cha kamati kuu kwanini wasichange UNGA wasonge ugali wale ?
Kama hakuna Hela kwanini wasifanye online meeting? Hivi Bado hamuoni kama hawa jamaa ni matapeli?
Watanzania mtatapeliwa mpka lini? Huu ujinga mtaacha lini?
Acheni...
Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la...
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa. Na kuna viongozi wa kitaifa ambao kutokana na matendo na mienendo yao isiyoeleweka ndani ya chama...
White South African business owner reportedly refused to reopen his company after being confronted by members of March and March, who demanded that he employ South African citizens.
According to the owner, he will not make hiring decisions under pressure or intimidation. #"""He argued that...
TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao.
Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
Hello JF..
Mimi naamini Chadema ina struggle financially, hata kama hatutaki kudiscuss hili,bado haiondoi ukweli kuwa kuna tatizo mahali...
Ku fight na ma giants kama CCM ambako matajiri wanamwagia pesa tu kiholela ili tu kulinda interests zao kunahitaji mkakati...
Sijajua sana wanayofanya...
Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa.
Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.