Azam FC wamewaiga CHADEMA

Azam FC wamewaiga CHADEMA

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,791
Reaction score
50,339
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania.

Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika, zinalandana sawia na sababu kama hizo ambazo huwa zinatolewa na CHADEMA kuhusu chaguzi za Tanzania.

Nadhani Azam FC itakuwa rahisi kwao kuelewa ni nini CHADEMA hukipigania kwenye haki za kiuchaguzi na uhuru wa kufanya siasa Tanzania.
 
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania.

Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika, zinalandala sawia na sababu kama hizo ambazo huwa zinatolewa na CHADEMA kuhusu chaguzi za Tanzania.

ok.🐒
 
Watu mnaweza🤣🤣
 
Tlaatlaah kuwa mpole ili tuheshimiane hata kidogo halafu ipo siku nitakwambia usivyovijua kuhusu Taifa lako.
 
binafsi ni mkiwa, mpole na myenyenyekevu sana gentleman.

ninawaheshimu mno wadau wote wa JF, wakubwa kwa wadogo, me na ke, na zaidi sana nayaheshimu na kuyathamini mno mawazo na maoni yao mbalimbali kijamii, kiuchumi na kisiasa.

In fact nitaendelea kufanya hivyo daima, ila tu kamwe siwezi kusita wala kujivunga hata kwa sekunde moja kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, na wala sichelewi hata kwa sekunde moja ku-deconstruct upotoshaji wa aina yoyote ile jukwaani 🐒
 
mentality yako ni ndogo mkuu,jitafakari.
 
Mbinu alizotumia Karia kubaki madarakani ndio wanazotumia CCM kubaki madarakani. Kinachopiganiwa na CDM kuhusu ustawi wa haki na uwajibikaji kinahusisha nyanja zote. Taratibu watu wataelewa.
 
Umefanya tafakari ya kina kabisa. Na jinsi Karia asivyojali "kelele" za wapenda Mpira wa miguu Tanzania, na ndivyo CCM wasivyojali hoja za wazalendo wa Tanzania.
 
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania.

Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika, zinalandala sawia na sababu kama hizo ambazo huwa zinatolewa na CHADEMA kuhusu chaguzi za Tanzania.

Nadhani Azam FC itakuwa rahisi kwao kuelewa ni nini CHADEMA hukipigania kwenye haki za kiuchaguzi na uhuru wa kufanya siasa Tanzania.
Kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake hata chawa viherehere ndani ya taifa hili.
 
Back
Top Bottom