chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia CHADEMA na CCM wasikae mezani kuondoa huu mzozo?

    Assalam alaykum Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania CCM inaogopa na inawaza siku wakishika nchi CHADEMA ndio mwisho wa wao umeishia hapo

    Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti. Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza. Walicho wahi sasa ni kuingiza mpaka jeshi la nchi kuwalinda na idara za polisi na TISS. Tarehee 7 msije shangaa mpaka...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Francis: Chama cha Chadema hakina msimamo, kimetekwa na wanaharakati

    Mchambuzi wa Siasa na Diplomasia Francis Fran ceo anaeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametekwa na wanaharakati hivyo wamekosa Msimamo; Chama ambacho "kimetekwa na wanaharakati". Inadaiwa kuwa wanaharakati hawa wamejiingiza ndani ya chama na sasa wanatumia "mgongo wa...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnashindwa kujibu hoja za humu jukwani au na nyinyi hamjui mnataka nini au ni Dharau?

    -Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu. -Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli - Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Franceo: Zuio la Mikutano ya Kisiasa, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano

    Mchambuzi wa Masuala ya Diplomasia na Utatuzi wa migogoro @fran_ceo anaeleza kuwa zuio la Mikutano ya Kisiasa katika kipindi hiki, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano yanayoweza kupelekea ghasia. Soma Pia: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini kinachowafanya wawe timamu, mbona wakienda CCM wanaonekana kama hamnazo?

    Wakuu, nimeshudia watu wengi walipokuwa CHADEMA walikuwa wanaonekana kama wako timamu, ubongo unachaji, wakiongea wanatoa madini, wanakupa kitu cha kukufanya ufikiri ila hao hao wakihama wanaongea kama wamekatwa vichwa, utumbo tu kama akili hamna. Kwani wakiwa CHADEMA huwa wanapewa nini ili nao...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ona sasa, NCHI imekaa gizani, shughuli za Uchumi, Kijamii ndani ya Masaa hayo yote zimekua Paralyzed, ni hasara ilioje?

    Huenda Usalama wa Taifa wakikaa mezani, vichwa vinawaza namna ya kuzuia Lissu, CHADEMA . Hiii yote ni sababu ya KATIBA MBOVU tulonayo, Watu Smart wanaachwa na kupigwa majungu, huku wale wengine ndio wanapopewa nafasi. Akili sio ELIMU ..... Kwa Bahati mbaya sana siku hizi ELIMU na Vyéti vyake...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanashughulika na mikutano ya siasa na Chadema. Sasa ni zaidi ya nusu saa nchi nzima haina umeme. Koteeee hakuna umeme

    Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme. It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi! Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Shitukeni, CCM inamtumia waziri mkuu kupiga propaganda za CCM kwa kofia ya kuwa yuko kwenye shughuli za kiserikali

    Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri mkuu fake alichokuwa anaongea ni siasa tu. Na ataendelea hivyo nchi nzima kwa kisingizio ni ziara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA lazima iendelee na mikutano ya hadhara kama ratiba ilivosema, na maboresho zaidi kama ninavyopendekeza, CCM ndio wataumia kwenye hili

    Ujumbe ni kwa uongozi wa Chadema jadilini hili kwenye vikao, Hakuna uwezo wa Kilojistiki wa Kuzuia mikutano ya siasa ya Chadema, ni suala la kuamua na kutopokea katazo haramu. Ninaleta swali la msingi kwa Chadema na wapenda mabadiliko "Je, kuna polisi wa kutosha kuzuia mikutano mingi kwa wakati...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema ya Sasa sio chama cha upinzani bali ni wakala wa mabeberu

    Siioni chadema inayotetea maslahi na fikra za watanzania bali inafanyia kazi maelekezo ya wazungu wahuni hivyo tuikatae
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Ushauri: wafuasi na Viongozi wa CHADEMA heshimuni kauli za viongozi wetu hiyo jeuri yenu kafanyieni kwenye nchi zingine siyo Tanzania

    Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli. Hamna mtu mwenye uwezo...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Leo wafuasi wa CHADEMA hawajalala wamekesha jukwaani. Kuweni makini siasa zitawapa hypertension Tanzania is very strong than ever

    Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini. wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema. Leo mmekesha mnaandika nyuzi 🤣🤣 Nendeni mkafanyie mikutano kwa mabeberu ili mkasalimie na wake na watoto wenu Poleni sana...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa serikali na CCM kwaogopa Chadema kwa kiasi hiki!

    Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja. Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane na huu ujinga
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Songwe: Viongozi wa Chadema Wanaeneza Chuki kwa Maslahi Binafsi

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe @fatumamnahwate amesikitishwa na namna Viongozi wa Chadema wanavyoeneza chuki na kupakiza uchochezi kwa watanzania kwa maslahi yao binafsi. Fatuma ameeleza kuwa chama hicho kwa sasa kimegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa kiwanda cha kuzalisha...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute , Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo??

    Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo?? Mkifute tu
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Itisheni Maandamano haraka Iwezekanavyo, Acheni kukimbilia MAHAKAMA, Katambi kaingia 18 za US/ EU , tusonge na Maandamano !!

    Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano. Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka. Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya maana !!. Heche wewe ni Lissu mdogo, shikilia hapo hapo. Sasa Dunia inajua Wamekua watu Oktoba 29...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakuna uvunjifu wa amani uliofanyika kwenye mikutano ya CHADEMA. CCM wameona kwa macho yao namna wanannchi wanavyoichukia serikali CCM.

    Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono. Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
Back
Top Bottom