chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, ahamia CCM

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hali iliyomfanya kuona hana sababu ya kuendelea kuwa upande wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kuendelea Agosti 5, 2026

    Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Said Issa aiburuza CHADEMA kwa Msajili kutetea uanachama wake

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa. Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Vita uchaguzi wa Lissu na Mbowe ulitengenezwa lengo CHADEMA ipasuke

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo. Amesema hayo katika mahojiano...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Azam FC wamewaiga CHADEMA

    Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania. Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Katazo la kuandamana haliwahusu Simba ba Yanga ila CHADEMA pekee?

    Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani! Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini? Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Crisis: Heche Accused of TSh 70M Financial

    CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached the party, the crisis has escalated with strong calls for his resignation.
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Waache "ushamba"

    Chadema ya Tundu Lissu na John Heche wamekuwa na utamaduni mbaya sana hasa kuhusu VIFO.Kwanza wamekuwa VINARA wa kushangilia VIFO vyote vya Wanaccm na Viongozi wa Serikali "Utamduni" ambao hatukuwahi kuwa nao wakati wa Uongozi wa Mzee Freeman Mbowe. Lakini pia wamekuja na utamaduni mpya tena...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa Chadema?

    Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana? Je, suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hakuna mahala Kiongozi wa CHADEMA ametukana . Wanachofanya ni kuuleza umma wa Watanzania namna taifa lao linavyoporwa na wanaCCM wachache

    Nimeshangazwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba (PM) kuwa wanaChadema wanafanya harakati na kutukaa viongozi. Ameenda mbali na kudai huko nyuma Chadema walikuwa wakimtukana hayati JPM Napolingana na hii hoja maana viongozi wa Chadema wanaeleza kwa hoja namna CCM inavyotumika kitafuna pesa za...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wa chadema taifa, hawaangaliani macho kwa macho hivi sasa, wanaogopana na kuviziana, unadhani ni kwanini?

    Je, ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa? Na je tutegemee kuona mafarakano ya kisiasa ndani ya chadema taifa katika muda usiokua mrefu sana ujao? Na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania A FM na C FM waripoti, Mamilioni ya fedha za michango yazua mzozo CHADEMA. Wameamua kutumika kwenye siasa chafu?

    Ila hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe! Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa Kuna mtu mmoja kawapa habari hiyo waichapishe nawao kwa sababu ya njaa zao wameruka nayo. Dah safari bado ni ndefu sana...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sasa nyie ndugu zetu wa CHADEMA kutwa mnadai fidia huku mnahamasisha vurugu sasa hizo fidia zitatoka wapi hebu tumieni akili basi

    Mmeomba viinua mgongo kipindi mkiwa bungeni mmelipwa (Lissu alilipwa) mmeomba ruzuku zilizo kwama mmelipwa zote na Rais Dr Samia Suluhu Hassan, Lissu ameomba Hela za matibabu amelipwa zote Leo tena anaomba fidia sasa hizo hela zinatoka wapi ili hali kutwa kuhubir vurugu? Kwanin chadema...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Deogratius Mahinyila, kushuhudia mwili unafanyiwa postmortem, ni kumkomaza mapema.. CHADEMA Msirudie😭😭😭

    Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi. Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote. Ilinichukua...
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tumempata Rais Mzuri anayejali masilahi ya watanzania lakini bado chadema wanaendekeza dysfunctional politics nchini hopeless kabisa.

    Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu, Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani

    Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akihojia na kituo cha Redio cha VOS Juni 25, 2026 amesema "Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani." Heche ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Bara amefafanua kuwa haki ya kukusanyika na kuandamana...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chadema HQ, kuweni na hofu ya Mungu kwa rambirambi wanazotoa waombolezaji, ni heshima zikafika kamili kwa wafiwa na familia kwa ujumla.

    Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za rambirambi zinazotolewa na waombolezaji kwaajili ya wafiwa, na badala yake, wakusanyaji michango...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Grafiki hii inayoonesha kuwa 'CHADEMA imemuua dereva wa Heche' ni halisi?

    Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikidai kuwa kuwa na maneno yafuatayo "Kwa nini CHADEMA imemuua dereva wa Heche?" Katika kufuatilia ju ya kile ambacho kimechapishwa imebanika kuwa graphic hiyo inapotosha umma kwa kutoa hitimisho lisiloungwa mkono na...
Back
Top Bottom