Otile Brown: Kuwa mwanamke ni gharama sana

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,039
Muimbaji wa Kenya Otile Brown anasema Lifestyle ya Mwanamke ina gharama kubwa sana baada ya kusuka nywele mara 3 kwa mwezi na msuko mmoja ni (5000 KES) sawa na Tsh Laki 3.

"Nataka niwape maua yenu wanawake maisha yenu ni gharama sana, Hii ni mara ya tatu nasuka na hata mwezi haujafika. Kila naposuka ni 5000, bado hujapaka yale mafuta yao ya nywele na ngozi". - Otile Brown.

Elfu tano ya Kenya ndiyo laki tatu?Hesabu za wapi hizo mnazopiga au ndiyo mahaba yamewazidi?
 
Muimbaji wa Kenya Otile Brown anasema Lifestyle ya Mwanamke ina gharama kubwa sana baada ya kusuka nywele mara 3 kwa mwezi na msuko mmoja ni (5000 KES) sawa na Tsh Laki 3.

"Nataka niwape maua yenu wanawake maisha yenu ni gharama sana, Hii ni mara ya tatu nasuka na hata mwezi haujafika. Kila naposuka ni 5000, bado hujapaka yale mafuta yao ya nywele na ngozi". - Otile Brown.

View attachment 3445063
Ni kama anawaambia wadau kuwa alitaka kuwa mwanamke, ila gharama za kuhudumia uke wake zimekuwa juu amebaki kuwa mvulana.

Gharama zingekuwa ndogo angehama mazima, au amekosa wa kumuhudumia.
 
Asiishie kusuka tu kama vipi ajaribu na vingine Ili apate kudhibisha na mengine mengi wanayopitia wanawake
 
Back
Top Bottom