Celebrities kemeeni Uovu, wote hatupo salama

Celebrities kemeeni Uovu, wote hatupo salama

King crazy GK jamaa amechana mbaya. Kwenye hii track chawa Mwana FA hakuwepo.
Hivi huyu ni AY..
Mbona alikuuwa bandidu sana kulinganisha na sasa..

1763603125953.png
 
Fikiria MC Pilipili anauwawa kama kuku mchana peupe. Mlinyamaza Gen Z wakiuawa sasa ona yanayoendelea. Tukemee Uovu, tupone.
Amekosa nini ambacho adhabu yake ni kifo??????. Ni ubabe wa walinzi wa Mwigulu Nchemba, yaani tunauawa kama kuku na wenye nguvu. Ndugu zangu haichagui ni CCM au vyama vingine au hata kama si mwanachama wa chama chochote au hufuatilii siasa. Tunauawa bure.....Tunaonewa bila sababu kwa sababu wana bunduki ambazo zimenunuliwa kwa kodi zetu. Kama alikosa kwanini wasimpeleke mahakamani, na alikosa nini?
MC PILIPILI ana familia, mke na mtoto wake wa kike, wameachiwa kidonda ambacho hakiwezi kupona milele, mtoto atakuwa bila baba yake, na maisha yao hayana uhakika.....Wamemuua bread winner wao. Hii dhambi ni kubwa ambayo haina mfano.
Kwa sababu wana uwezo wataendelea kutuua, miaka mitano ijayo kama atakuwepo watu zaidi ya millioni watakuwa wameuawa kwa rate hii! Pol pot aliua mil.2, Rwanda zaidi ya 800,000 kwa siku mia moja tu. Huyu atatumaliza tusipompinga na kupigana kwa nguvu. Huyu mama hana huruma, ni katili sana, anatoa kafara na bado zitaendelea kutoka.
 
Bongo kuna celebrities kumbe mnaowategemea
Wapo akina Steve Mengele, Mwijaku, Shilole, Baba levo, Harmonize, Diamond, Mrisho Mpoto, na wengineo wengi.

Hawa ni baadhi tu ya wale celebrities wanaotegemewa sana.
 
Fikiria MC Pilipili anauwawa kama kuku mchana peupe. Mlinyamaza Gen Z wakiuawa sasa ona yanayoendelea. Tukemee Uovu, tupone.
Wasanii wengi ni wanachawa cha chama, kukemea uovu ni marufuku.

Ni kama ishu ya Polepole alikuwa mwenzao lakini hadi leo hakuna mwanachawa yoyote aliyemzungumzia.
 
Fikiria MC Pilipili anauwawa kama kuku mchana peupe. Mlinyamaza Gen Z wakiuawa sasa ona yanayoendelea. Tukemee Uovu, tupone.
Father kuna hawa wasanii wa miziko ya injiri hatuwasemi lakini nao ni machawa Promax mfano Ambwene mwasongwe huyu aliimba gospel kwenye campaign ya 2lia

Hapo nyuma Rose &mwaitege wamewahi kumuimba mwigulu kwenye collabo lao.

Si hivyo tu kuna hawa maqumer wakina Mr mwanya,Ndalo,Ngosha na wengine wengi hao wote ni machawa Promax usitegemee lolote lile wao hela ndo kila kitu kwao kutatulika rinda sio issue kubwa kwao.
 
Ambwene Mwasonge Mpakwa mafuta wa Mungu yeye alishaonyeshwa zamani na akaomba msamaha hadharani kwa kosa hilo la kushiki kampeni ovu,Aachwe kwenye hili.
 
Ambwene Mwasonge Mpakwa mafuta wa Mungu yeye alishaonyeshwa zamani na akaomba msamaha hadharani kwa kosa hilo la kushiki kampeni ovu,Aachwe kwenye hili.
Father Hawezi kuachwa. Umesikia wapi kalaani haya mauji?

Kwanza ikumbukwe kuwa aliyekuwa anampigia kampeni hiyo aliwahi kusema yeye hana mpango wa kwenda mbinguni mungu amuache kwanza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom