DCI walimkamata mapema leo hii na wakapata silaha ambayo aliitumia.This guy needs to be behind bars.
DCI walimkamata mapema leo hii na wakapata silaha ambayo aliitumia.
Lawyer wake anadai "it was self defence"Hio ni poa. We can no longer tolerate such lawlessness.
Eti DJ Evolve alikataa kucheza nyimbo za Lingala. Anaitwa Babu Owino, comrade.
Duh hyo babu ni mshamba sanaEti DJ Evolve alikataa kucheza nyimbo za Lingala. Anaitwa Babu Owino, comrade.
Huyu ingekuwa Bongo wangempa kichapo cha mbwa na Uheshimiwa wake angeusahau!Kwa ambao hamjaona bado hilo tukio, video hiyo hapo chini. Inasikitisha sana!., Huko Twitter ina trend sana
Huyu ingekuwa Bongo wangempa kichapo cha mbwa na Uheshimiwa wake angeusahau!
Apelekwe shimo la tewa kenge huyo, yaani naogopa kufika nairobi kwa sababu hii, huko hadi wakora wanamiliki pistoNoma sana, yaani pumbavu sana jamaa...
Hivi nyie mnajuaje news zinazotrend Kenya kwenye twitter? Mnasearch vipi?Kwa ambao hamjaona bado hilo tukio, video hiyo hapo chini. Inasikitisha sana!., Huko Twitter ina trend sana