ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Pareso: Awaki alinishawishi nitoke CHADEMA nirudi CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi Daniel Awaki, ameonesha ukomavu wa kisiasa kwa kupanda jukwaani kwa mara ya pili kumuombea Awaki...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi wa CCM hutuchekea kujifanya wapo pamoja na wananchi, angalia comment

  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Kumeibuka malalamiko kuwa mamlaka zimeficha taarifa hiyo ya ajali, huku majeruhi wakidaiwa kutelekezwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ummy Mwalimu: Siwezi kususa, naipambania CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ambwene Mwasongwe aomba radhi baada ya Wananchi kumuwashia moto aliposhiriki kwenye kampeni za CCM

    Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa. Ambwene ameomba radhi na amefafanua kwa mgombea aliyekwenda kumuunga mkono ni jamaa yake wa siku nyingi na alimualika katika ufunguzi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia awajibu wanaodai CCM inatumia nguvu kubwa kwenye kampeni

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho. Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  9. JamiiForums Tanzania CCM wajue huwezi kamwe kuuficha UKWELI

    Confucius alisema,vitu 3 huwezi vificha, JUA, MWEZI NA UKWELI. Unaweza tembea na uwongo, kuupamba na kuuremba, lkn Ukweli utakuumbua. Natamani wangejua Hekima za wazee,MFICHA UCHI HAZAI. Chama chenu kina vijana wasio na uwezo wa kupambana na hoja matokeo yake ndio haya. Nakumbuka kipindi cha...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  11. JamiiForums Tanzania Hapa CCM tumekosea. Tukubali na tujirekebishe

    Na wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
  12. JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
  13. JamiiForums Tanzania CCM walipopatia ni hapa

    CCM ina mambo yake yanakosolewa na watu ila kuna jambo moja wamelipatia sana, ambalo vyama vingi barani afrika vimefeli nalo ni kujenga chama ambacho kinamjumuiko (inclusivity) ya watanzania karibu jamii zote CCM ni chama cha matajiri, maskini, wasomi, wajinga, waislamu, wakristo, wahindu...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Reforms tulizozitaka tukiwa CHADEMA zimefanyika CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na mabadiliko ya sheria na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu. Soma pia...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ccm inavotumia watoto wa kimaskin kujaza mikutano yao.

    Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  17. JamiiForums Tanzania Uhuru wa wengine ni uhuru wetu. Tukinyamaza hata humu JF ipo siku. Ndio Maana Watibeli tunahangaika. Walianza CDM wameingia CCM. Who's next.

    Habari za Sabato! Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique. Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025. Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini...
  19. JamiiForums Tanzania CCM haina wanachama milioni 13

    Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13. Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika. Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiombi mtu kuhudhuria mikutano yake

    Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki. Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…