ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa CCM ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia CCM Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa CCM
  2. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video :WanaCCM wakipelekwa kwenye mkutano wa CCM

    Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli?? Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi humu ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa ccm ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo, Crown Media na Mwananchi wamechapisha kuwa'RC Mtaka anashirikiana na Denis Ekwabi kuihujumu CCM, Ukabila wahusishwa'

    Wakuu ==== Kuna ukweli wa taarifa hizi?
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

    Mara nyingi huenda sieleweki kwenye baadhi ya misimamo ninayoichukua hususani kwenye mambo ya kitaifa ya kisiasa. Mathalani mambo yanayolalamikiwa na wapinzani wa CCM. Uzoefu wangu wa siasa za CCM, kwa yale niliyoyaona kwa macho, CCM haitegemei siasa za majukwaani hata kidogo kushinda uchaguzi...
  7. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  9. toto2000

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hii ni nyomi iliyosombwa na Malori kwenye kampeni za CCM Morogoro

  11. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli novena na albadili vinanguvu kwanini visitumike kuitoa ccm kwenye madaraka,kuondoa mafisadi,nk?

    WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika? Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk. Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na...
  12. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno Rushwa au Ufisadi. Watanzania kuweni makini

    Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani. Ndo maana msamiati wa ufisadi haupo kwenye vinywa vyao na hata kwenye ilani yao. Sasa mjiulize...
  13. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea.... Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!? Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

    Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA. Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

    Njama za kumuua hayati JPM Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga. Kuporomoka kwa maadili Wizi wa kura kupitia Inec na Nida Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM akuache mtaani wakati Ben Saanae aliuliza tu kuhusu PhD pole pole akamuondoa juu ya uso wa nchi Pole...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Huenda CCM ndio Chama Cha siasa kinachopendwa zaidi Duniani kwa sasa

    Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa. Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila ukweli CCM is the most current Loved Political Party in the World.
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

    CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!? Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao. Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM hawaoni aibu jinsi kampeni zilivyopooza halafu hakuna anayefuatilia?

    Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu. Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani mmechokwa mnajaribu kujilazimisha kucheka nafsi inawasuta, hamna furaha, uchaguzi umepoa, hakuna...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Back
Top Bottom