ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  2. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Umadhubuti wa CCM unategemea upinzani imara

    Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo WanaCCM. Hilo ni jambo la kwanza muhimu la kuzingatia tunapotafakari haya maneno ya Mwalimu Nyerere...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya. Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba...
  7. maganjwa

    JamiiForums Tanzania CCM inaweza kuendelea kutawala?

    Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani? Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitawafanya watanzania kuondoa uoga na kuungana kuukataa uongozi wa CCM?

    Watanzania bado tunaogopa. Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sijaona MwanaCCM wa kumjibu Polepole. Mtu Kamwaga anajidhalilisha. Makada wa CCM hawajibu hoja wanamshabulia Humphrey

    Jibu hoja kwa hoja. Hii ndio kanuni ya kulumbana dunia nzima. Mfano Polepole ameeleza kinagaubaga. Angela Kiziga alifanya ufisadi wa bil 40. WanaCCM wajibu kama hakuna ufisadi huo. Na kwa nini afanye kazi ofisi ya rais. Gesi huko Cuba zinauzwa kwenye maduka serikali kama ilivyokuwa enzi za...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: CCM kugharamia matibabu ya saratani na figo ndani ya siku 100 za kwanza madarakani

    Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena nchi. Amesema hayo...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania REDETI tupeni Tafiti za kupaisha Wagombea wa CCM

    Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Biharamulo kuwa kituo kikuu cha kampeni za CCM mkoa wa Kagera

    BIHARAMULO KITOVU CHA KAMPENI ZA CCM KAGERA Hapa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi anasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo ndio kitakuwa kituo kikuu cha kampeni cha Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ikishinda, ni chama kipi cha upinzani kitaibuka nafasi ya pili na ya mwisho kwenye uchaguzi ?

    Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais, ubunge na udiwani, kwa namna ilivyojipanga na kujiandaa. Kama mdau wa jukwaa hili makini la siasa...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi. Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised. Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  16. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 haina cha maana? Majibu haya hapa

    Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy. Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya...
  17. toto2000

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu ya CCM ni Umoja wa Chama na Umoja wa Taifa

    Dkt. Bashiru Ally Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru Nguvu ya CCM na uwezo wake...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Polepole anaongea kisomi sana, CCM msikurupuke kumjibu

    Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni... Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CCM wanafanya matamasha sio kampeni !! Kampeni lazima iwe na mshindani!

    Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu ! Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa bunifu za miradi mikubwa katika kampeni za CCM kunapunguza mvuto!

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi miradi ambayo haijakamilika ya kimsingi ni miwili tu, SGR Mpaka mipakani mkongo wa kitaifa wa maji...
Back
Top Bottom