Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa.
Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila ukweli CCM is the most current Loved Political Party in the World.
CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!?
Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi...
Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu.
Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani mmechokwa mnajaribu kujilazimisha kucheka nafsi inawasuta, hamna furaha, uchaguzi umepoa, hakuna...
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu.
Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu..
Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu.
Mnakata internet ili wananchi wasojue kinachoendelea. Matokeo wanaoteseka ni CCM wenyewe na Wananchj wasiojua nini I mnafanya...
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi.
Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo.
Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje?
Hapa...
Kuweka kampuni nyingi ila tunaweka DMZ ili kutosumbua wapuuzi wa CCM wenye cable zao hapa JF.
Hivi nyie mnaosifu mama zenu mnajua soko la madini mfano Dhahabu kwa nini inapanda bei au uchumi wenu basi rudini kwenye forex mnayosema Betty kutoka benk kuu
Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani...
Ukichambua vizuri kile kinachoitwa Ilani na sera za CCM 2025-2030. Utakuja na jibu moja tu kwamba, waandaji wamechomoa chomoa kwenye Ilani na sera zilizotumika zamani, wakaunda kakijitabu haka wanakokatumia Leo kuomba kura.
Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Edward Lowassa aliwahi kuonya akiwa...
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.