ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  2. mtotofisi

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMMA katika kata ya Songambele kasema CCM oye

    Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!! Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM inahitaji vyama shirika vya upinzani kuliko chochote. Tishieni kujitoa kuwa hamuwezi mudu tena ghalama za kampeni. Mtanishukuru

    CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu. Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata majukwa ya mbao yamewashinda. Tengeneze umoja wa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi. Itisheni...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
  5. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nimemuona muuza miwa kwenye kampeni za CCM Mbeya nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu!🤣

    Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Hakuna Chama chenye uwezo wa kuiangusha CCM

    Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja wa chama hicho. Soud alibainisha kuwa AAFP ipo tayari kushirikiana na CCM na kumuunga mkono mgombea...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakimaliza kutumbuiza wanapewa bahasha zao halafu wanakuja kutukana mitandaoni kuwa hatufanyi kazi

    Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya. Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'? Hata hivyo, wakati mastaa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe na 'Tyson' kawekwa na mtu kusaidia kiti? Kweli hapo hakuna Chama kuna genge la watu.

    Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina. Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wananchi Tarime waandamana hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani, Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe

    Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM? Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao! Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: CCM inajali utu wa watu

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema Watanzania wanapaswa kukichagua chama hicho kwakuwa kinajali utu wa wananchi. Soma pia: Kazi na utu, elewa maana ya “utu” tanzagiza!
  13. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM iliyopo madarakani inaikosoa CCM iliyopo madarakani

    Ukimsikiliza Samia Suluhu Hassan anaponadi Ahadi zake, unaweza kudhani anayoyasema leo kuwa atayatekeleza atakapotangazwa mshindi, labda alishindwa kuyatekeleza kwa kuwa CCM iliyokuwa inaongoza nchi ilimkatalia. Lakini ukitafakari kwa makini unagundua hiyo CCM ya miaka minne iliyopita ilikuwa...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM mnatuambia mambo tunayoyajua

    Kama mtu una shida na shida hiyo ikatafutiwa ufumbuzi, kuna haja gani kwa mtu mwingine kuja kukuambia kuwa shida yako imepatiwa ufumbuzi? Kama Kijiji hakina maji maji yakipatikana wanakijiji watajua hakuna sababu za kuambiwa kuwa shida ya maji kijijini imekwisha. Watanzania wanazijua shida...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuitoa CCM Madarakani, hivyo AAFP itakubali kumpa ushirikiano Dk. Hussein

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka. Pia Said Soud amewaambia ACT WAZALENDO hawana nuwezo wa kuitoa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso aeleza sababu za kujiunga CCM ambazo ni pamoja na kuvutiwa na sera pamoja na siasa za maridhiano

    Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni, ameeleza sababu za kujiunga na chama hicho ambazo ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  19. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Hebu tuulizane,nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani ya CCM ya 2025-30 ambacho walau tunaweza shindana na nchi zilizotangulia?

    Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika Dunia hii ya ushindani wa kiuchumi walau tuiweke nchi kwenye ramani? Ilani iliyopita ilikuwa na vitu...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hotuba za rais Samia kwenye kampeni za CCM zinasisimua na kuamsha matumaini, ari na shaku za wananchi wengi zaidi kupiga kura Oct.29.2025

    Sote ni mashuhuda kwamba, Kila kona ya nchi anapopita mgombea uraisi wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake Dr.Emmanuel John Nchimbi, hakuna mTanzania anaethubutu kubaki nyumbani, bali wananchi wote wakubwa kwa wadogo maeneo husika hujitokeza kwa maelfu kumpokea, kumuona na...
Back
Top Bottom