ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je tatarajie CCM kujitenga na Samia?

    Uchaguzi huu hadi sasa umekiua CCM kwa kiwango kikubwa sana. Je CCM kama Taasisi itajitenga na Samia? Tutarajie kitu, pia nashauri wagombea baadhi wa CCM wajitokeze na kuukataa uchaguzi.
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania CCM looh CCM kitendawili katima maana na matendo!!!

    CCM, kwa sasa, inaweza kuwakilisha vitu vingi mfano: Chama cha mauaji Chama cha machawa Chama cha manywinywinywi Chama cha mafisadi Chama cha Matapeli Chama cha maimla Chama cha mamluki Chama cha mazwazwa Chama cha majambazi Chama cha magabacholi Chama cha maajabu Chama cha madhambi Chama cha...
  3. Criss

    JamiiForums Tanzania Tukubali kuendelea kuuawa na majanjawidi wa CCM kama kuku au tujitetee?

    Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama . Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao. Siku ya uchaguzi na baada ya...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Damu, damu, damu, CCM, mikono na miili Samuya na Kikwete vimejaa damu atatawalaje damu damu damu?

    Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu? Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha? Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

    Soma barua yao:
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  9. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wazichoma ofisi za CCM Mianzini

    Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni: 1. Uchaguzi 2025 ufutwe 2. Katiba Mpya 3. Tume Huru ya Uchaguzi 4. Waliotekwa waachiliwe huru 4. Kesi za kubambikia watu zifutwe
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania CCM Wakubali Ukweli... Nchi haitawaliki tena

    Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo. Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro.. "Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM imekuwa chama cha kijinga kiasi hiki?

    Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani. Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue wasaliti, Samia ataumia beyond repair first akiendelea kushupaza shingo. CCM tokeni kabla ya hoja ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CCM ilipigwa na mshituko mzito January mwaka huu baada ya pandikizi lao muhimu walilokuwa wanalitegemea (Mbowe) kun'golewa CHADEMA

    CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents. Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mali zote za CCM zitaifishwe na Serikali Kuu

    Mali zote ambazo ni za seikali wataifishe ziwe za serikali haraka sana na wafungue chama kingine
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya yanayotokea, CCM hawakujua kabisa?

    Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini watawala walizidisha kiburi Kinachofwata sasa yatakuwa mauaji kwa famiria zao eiza iwe wao au huko...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Diamond afuta post zote za CCM

    Kaondoa hadi post ya kumtakia heri Samia Suluhu kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Ndo kishawasaliti au kanusa kitu mbele?
  19. C

    JamiiForums Tanzania Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati Kuu ya CCM mnavochelewa, ndio tunapanga kukifuta chama chenu

    Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia. Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
Back
Top Bottom