ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Wanazungumza rudi nyumbani, nyumba ipi? Sitarudi CCM, inaumwa ugonjwa ambao hauponi kwa tiba

    Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa chama hicho tawala wasahau suala la yeye kurejea kutokana na kile alichodai kuwa chama hicho...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
  3. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

    Wasalam. Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Ernest Silinde Awaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea urais kupitia CCM

    Mgombea ubunge wa jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi CCM amewaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan, amefanya hivyo leo katika kampeni za chama hicho Tunduma, mkoani Songwe.
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioahidi kushona sare kwa ajili ya Mgombea Urais CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wamewasili uwanjani Songwe

    Walioahidi kushona sare kumpokea Mgombea Urais CCM Dk. Samia wameanza kuwasili uwanja wa Mwaka Tunduma Mkoani Songwe.
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania CCM Mnakataa kuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe?

    CCM mnkuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe? Mnawalazimisha watu kuja kwenye kampeni zenu na kuwatisha kuwa lazima wakaskilize kampeni zenu alafu mkija kwenye vyombo vya habari mnasema mmewapa lift, kilichowafanya...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Siku tukiwatoa Madarakani CCM, Chama kitakufa, wamezoea wanabebwa na dola

    "Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  9. Diwani

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM. Chama chenu hakitawali hii nchi. AMKENI!!

    Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala". Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe

    CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe. Mugabe hivihivi alipuuza watu akabaki madarakani lakini nchi ndiyo ikamuacha. Kubali madarakani bila nchi kuwa moja ni mbaya. angalieni zimbabwe na ubishi kama CCM nchi yao ingekuwa wapi leo!!! ZANU-PF, Zimbabwe's ruling party, has failed to deliver for the...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Polepole anayoyabwabwaja yote ilitakiwa ayayabwabwaje mwanzoni, ameshalamba asali ya Ubalozi na ubunge lakini hakuyasema

    Edward Kakwale ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutokana na Rais Mstaafu wa awamu wa nne Dkt. Jakaya Kikwete kujibu hoja ya Polepole siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pamoja na mwanachama wa CCM Rostam Aziz pia kumjibu Polepole. Akizungumza na...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole amechanganyikiwa anapoona mipango yao imefeli. Walitaka wajumbe wa CCM waseme uchaguzi urudiwe wampitishe Gwajima

    Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%. Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia hakubaliki na wajumbe. Samia honestly alisema kama hawamtaki wamkate tu mbele zake hana shida . Wote 100%...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Dodoma: Hatuwasafirisha wananchi kwenye mabasi kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni, wanajitokeza kwa hiari yao

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohames amepinga madai ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kwamba chama hicho kimekuwa kikiwabeba wananchi kwa mabasi na kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni ili kuonyesha idadi kubwa ya wafuasi. Jawadu amesema wananchi...
  14. Blender

    JamiiForums Tanzania Msikilize BaBa Aminata, afunguka siri nzito

    Zakuambia changanya na za kwako. je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama. CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura, Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu. Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana...
  15. Andromeda Galaxy

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa CCM ni mazalia ya mfumo wa kijamaa uliosisiwa na Nyerere

    Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya kijamaa Zina mifumo ya kiimla au kidikteta hasa katika ugawaji wa madaraka, Pamoja na mazuri yake ila...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Mwambieni Mpina arudi CCM haraka. Akirudi nitampokea mwenyewe

    Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpiga kurejea CCM haraka. Hivyo, amewaagiza wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu kumfikishia salamu hizo Mpina, kwamba siku ya kurudi atampokea mwenyewe ( Dk. Nchimbi) na...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za CCM zinavyobua mjadala

    Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi zinazotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Miongoni mwa ahadi zilizotolewa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  19. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
Back
Top Bottom